eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Mourinho anawaza kukaba tu hivi sasa
Hafikirii kuchomoa hizi goli
E&K
Hafikirii kuchomoa hizi goli
E&K
Tangu timu aichukue Mou nimekua sina mzuka kabisa na hii timuYaani Mourinho sijui aliyetoa wazo la kumchukua ni nani huyo.
LVG angekuwa bado yupo hakika angekuwa na timu nzuri sana.

Yule Mbuzi hata wampeleke Hispania wampe Barcelona hawezi kutwa ubingwa maana hana mbinu za mpira zaidi ya kulinda.Watetezi wake watakuja hapa kudai hakupewa wachezaji anaowataka.😀😀
Yeye pia baada ya mechi ya leo atawaponda sana wachezaji.
Nasikia Brighton city anajipigia tu baoSanchez hayumo ndani..ngoja tuone atakachofanya Martial kule mbele akiwa na Lukaku na MataView attachment 841303
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo bado ni mapema sana..Ila kwa Timu hii ya Man ubingwa msimu Huu msahau..Hata mimi huwa naona wivu sana kwa namna Pep alivyoweza kuisuka Man City hadi wako vile.
Mkuu kwa match ya leo sidhani huyu jamaa atasavaivu msimu huuMou atafukuzwaje wakati man u ndo itakuwa bingwa msimu huu![]()
![]()
Kulingana na wachambuzi.
yani kwa huu mpira wa ajabu tunaocheza hata arsenal anaweza akatufunga nyingi yani hatakupiga pasi zenye madhara hakunaNataka tucheze hivyo hadi huyu mbuzi atimuliwe.
Kashafunga ngapi aiseeLeo Martial anaanza. Nategemea makubwa kutoka kwake huyu sanchez kazingua sana ngoja apumzikage tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkirudisha nahama chelsea kuanzia leo
Ila poleni sana
E&K
Kabisaa, Unanza Huu Mpira Nilikuwa Naona Kabisaa Hii si Mun, Hivi Kweli Tukikutana na Macity Tunatoka Kweli!? Kwa Mchezo Huu Goli 2 kwa dakika Mbili! Then Unaona Timu Aipo kabisaa kwenye kupigana Kurudisha.Kuna dalili ya wachezaji kutotaka kucheza chini ya Mou.
Ili ni shuti Kali Sana kuwahi kutokeaKosa kosa ya LukakuView attachment 841422