Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
Sio Arsenal tu hata Leeds wakicheza vizuri watapiga Man U bao nyingi sana.
Nilitamani sana Zlatan aondoke Man ndoto yangu umekuwa kweli nataka afuate Pogba na Mourinho najua wengi mtanipinga kwa Pogba.
Nilitamani sana Zlatan aondoke Man ndoto yangu umekuwa kweli nataka afuate Pogba na Mourinho najua wengi mtanipinga kwa Pogba.
yani kwa huu mpira wa ajabu tunaocheza hata arsenal anaweza akatufunga nyingi yani hatakupiga pasi zenye madhara hakuna