Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,123
Leo Martial anaanza. Nategemea makubwa kutoka kwake huyu sanchez kazingua sana ngoja apumzikage tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti ya Manchester United na timu kama Liverpool na Man City ndio hii United ikicheza na timu ndogo ata kama Old Trafford wanacheza mchezo wa kuzuia lakini City na Liverpool ni kushambulia tu
Si ange mpasia nwenzie alikuwa katika nafasi nzuriKosa kosa ya LukakuView attachment 841422
Kabisa, naiona kwa mbali nafasi ya sita.Kwa Mpira Huu Kwa Kwel Tutazidi Kuwa Washiriki Sion Kama Tuna Kikos Kinachoweza Kufanana Hata Nusu Tu Na Man City. Liver Au Tort
. Msijali bado Mou anatengeneza timu tumpe mda. Nimependa kagoli ka kwanza...kanafaa kupigia picha.Naona brightoni anafanya yake huko
E&K