Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

sweet pain, we loose we get close to zidane, we win we find peace of mind.
MANCHESTER UNITED FOR LIFE
 
Nipo kuwapa pole kipindi hiki cha kwanza. Bado mna nafasi ya kurudisha na kushinda maybe
 
Natamani king'amuzi cha Azamtv wakizime naona mashabiki wa man wa bize na uchambuzi wa mechi ya Yanga 😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Ata tukushinda timu mbovu kuna watu umu walikuwa wanashutumu sana Sanchez Leo kimyaaas
Of course Sanchez tulimlaumu alikua haperform vizuri ila martial hana raha ya kucheza tofauti tulivyotegemea na pogba pia haonyeshi kweli anania na ushindi may be second half
 
Nikirejea comment zangu huko nyuma niliwahi kudhihaki ukocha wa Mou ila kuna kijamaa kikaponda sana mithili anikate kidevu.

Mou siku akiondoka United ndipo nitakuwa na amani na timu yangu.

Na tutaendelea kuharibu kama tutaacha hili dudumizi lizidi kutuendeshea timu.
 
Ukweli ni kuwa Timu Aichezi Kwa Umoja Yaani Uoni Ile Umoja Wa Wawachezaji

Dalili ya Kurudi Mbili na kuongeza Sidhani.

Yaani MPka Inaumaa
 
Back
Top Bottom