OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
Kwani man u leo mnacheza na nani[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hii dharau. Mashabiki wa Brighton wanaimba CAN WE PLAY YOU EVERYDAY!
Imepasuka vipande vipande.. Nimejaribu kumpa man u walau alipokuwa kashafungwa mbili lakini kumbe kweli chizi huwa haponi anapata nafuu tu
Hii dharau. Mashabiki wa Brighton wanaimba CAN WE PLAY YOU EVERYDAY!
Hahaha ***** wallah hizi sio dharau ni kejeli [emoji23] [emoji23]Hii dharau. Mashabiki wa Brighton wanaimba CAN WE PLAY YOU EVERYDAY!
Nawapa pole manure, huenda wakapigwa mechi mbili mfululizo. Hilo ndio soka la Uingereza.Tunawakumbusha tu wiki ijayo na SPURS.