Ukweli ni kuwa Timu Aichezi Kwa Umoja Yaani Uoni Ile Umoja Wa Wawachezaji
Dalili ya Kurudi Mbili na kuongeza Sidhani.
Yaani MPka Inaumaa

Mou atafukuzwaje wakati man u ndo itakuwa bingwa msimu huu
Yaani Mourinho sijui aliyetoa wazo la kumchukua ni nani huyo.
LVG angekuwa bado yupo hakika angekuwa na timu nzuri sana.
yani timu haina mpango wa kutengeneza nafasi za kushindi hata goli moja what a dissapointment