Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Exclusive: @JB17Official Jerome Boateng called José Mourinho to tell him personally that he is grateful for the interest, but he won’t come to Manchester. No Transfer to manutd @SPORTBILD @BILD_Sport
Huyu jamaa huwa simkubali hata kidogo ni bora kashtuka bek ni tobby tu au hata harry maguire
 
Sasa wewe unaumia nini wakati unajua mourinho anasimamia mazoezi? Bila msimamia mazoezi hamna chelsea lasivyo mngekuwa kama aston villa tu alishasema atokee wa kufuta historia yake ndipo mpanue mdomo mmesajili kocha katupa europa na nafasi ya 6 mkacheze na wakina astana msimamia mazoez yule uefa champions
Naona unajibagua tu. Msimu huu mnaishia nafasi ya 06 na Arsenal huko. Na UCL mtoano kwa upendeleo.
 
Sasa chelsea inawachezaji gani na wewe mbona kuna matakataka kule labda kante tu mengine yote pumba tu
Teh.. Willian, Hazard, Jorginho, Azpilicueta, Christensen, Odoi, Moses, Alonso, Pedro, Fab, Rudiger, Batshuayi na Barkley. Hao ni kwa uchache huwezi kufananisha na vibishoo vyako vipenda maonesho.

Sijamtaja Kante kwakua umeshamkubali. Na bado naendelea kusajili.
 
Msimamizi wa mazoezi wa pale Aon training complex,bwana Jose' Mourinho analipi jipya kuelekea ijumaa??..
 
Teh.. Willian, Hazard, Jorginho, Azpilicueta, Christensen, Odoi, Moses, Alonso, Pedro, Fab, Rudiger, Batshuayi na Barkley. Hao ni kwa uchache huwezi kufananisha na vibishoo vyako vipenda maonesho.

Sijamtaja Kante kwakua umeshamkubali. Na bado naendelea kusajili.
Yote matakataka hayo kante ntakuelewa hayo machizi kabisa
 
Huyu jamaa huwa simkubali hata kidogo ni bora kashtuka bek ni tobby tu au hata harry maguire
Maguire fa...la tu hana lolote wala sio beki wa kutishia mie sielewagi kwann Waingereza wanapendaga kumpaisha MTU sifa asizostahili. Waangalie timu zingine mabeki sio Uingereza
 
Ok.
 
Radika humu kwenye UZI WA Manchester United sio kwako na kama unaendelea kuingia kwenye Uzi huu na kukoment basi Utakuwa unamambo Mawili . 1. Aidha unaipenda ManUtd, ama la 2. Ni mkorofi wataka kuwatoa watu akili na mapovu. Which is NOT GOOD. nadhani humu ni kwaajili ya kushauri na kujadili na kupeana Habari za nini kinachojiri klabuni. Asante kama umenielewa
 
Ile game ya MCFC vs MUFC, babu Fergie alionesha kuwa yupo very dissapointed, his expression said it all.

Tatizo sio kuchukua mataji, tatizo we are playing like Leeds United. Tunaingia uwanjani kutafuta point 1 tu na sio tatu na wingi wa magoli ndio maana hatuna future.
 
Timu inakocha anayesimamia mazoezi huku akipanga kikosi na kukitegemea chenyewe kijiongeze kipate ushindi..lazima tusheze vibaya tu..Mourinho akiwa sacked pale OT,roho yangu itasuuzika kabisa..
 
Tunashindashinda kibahati tu,hata kumaliza nafasi ya pili ilikuwa bahati tu.

Wenzetu wanasema tuache Mou anajenga timu.
 
Kwa klabu kama MUFC ni aibu the way we play. Ile timu ata ikija Tanzania Kagera sugar watacheza kwa kujiamini kuliko MUFC.
 
Barcelona target Paul Pogba has told Manchester United bosses that he wants a £200,000-a-week pay rise if he is to remain at the club, according to reports.
 
Now tuna mashabiki wa makocha na mashabiki wa wachezaji wachache sana wanashabikia Manchester United
 
Tunashindashinda kibahati tu,hata kumaliza nafasi ya pili ilikuwa bahati tu.

Wenzetu wanasema tuache Mou anajenga timu.
Kuna bahati michezoni ipo huo ndo ukweli mpira anaocheza liverpool sio mdogo sasa kama huna bahat utaumia tu hata ktk uhalisia wa maisha kama una gundu huwez kufanikiwa.
 
Barcelona target Paul Pogba has told Manchester United bosses that he wants a £200,000-a-week pay rise if he is to remain at the club, according to reports.

Mjinga kwa performance halaf u mkwanja baadae.
 
Back
Top Bottom