Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Barcelona wametoa euro 50m + Mina + Gomez kwa ajili ya Pogba. Man United wamesema hawawezi kumuuza Pogba kwasababu ndie nembo ya kibiashara ya timu.
Ni jambaz sana hili jamaa lina wachezaj wake likiamua kuwapigia kampen kuwa ni world class linafanya, linapenda udalali wa kupiga hela ndefu, hiv hapo kashaona pogba kwenda barca yy atavuta mkwanja mrefu tu,Hakutotokea Agent Muhuni Duniani Kama Mino Raiola.....
Ni jambaz sana hili jamaa lina wachezaj wake likiamua kuwapigia kampen kuwa ni world class linafanya, linapenda udalali wa kupiga hela ndefu, hiv hapo kashaona pogba kwenda barca yy atavuta mkwanja mrefu tu,

Msimamizi wa mazoezi ana vikombe vingi ndani ya chelsea tofauti na makocha kamili dunia ina maajabu mkuu.Tulipokuwa tunasema Mourinho siyo kocha ni msimamizi wa mazoezi mlikua mnatupinga sana. Haya sasa bado mnapinga.?![]()
![]()
Usimamizi wa mazoezi ulianza mwaka wa meisho alipokua Chelsea. Sasa na nyie mkamchukua kama alivyo.Msimamizi wa mazoezi ana vikombe vingi ndani ya chelsea tofauti na makocha kamili dunia ina maajabu mkuu.
Ya aje asimamie na huku mazoezi kidogo wakati tunatafuta makocha kamili kama nyie cha ajabu huwa lazima akupe kombeUsimamizi wa mazoezi ulianza mwaka wa meisho alipokua Chelsea. Sasa na nyie mkamchukua kama alivyo.
Msimu uloisha alikupa kombeYa aje asimamie na huku mazoezi kidogo wakati tunatafuta makocha kamili kama nyie cha ajabu huwa lazima akupe kombe
Sio kila msimu hata huko chelsea alikuwa anatoka kapa lakin ana maajabu yake kama makocha kamili.Msimu uloisha alikupa kombe
Kvp kwani nn kimetokeaTulipokuwa tunasema Mourinho siyo kocha ni msimamizi wa mazoezi mlikua mnatupinga sana. Haya sasa bado mnapinga.?![]()
![]()
Yafaa zaidi kuuliza ESPNKwanini wameweka net spend badala ya gross?
Nimeileta kama nilivyoikutaKwanini wameweka net spend badala ya gross?