Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jana tu kacheza na bayen mechi ya kirafiki cyo ya kupoteza chochote.bora wangecheza mpira wa kuvutia cyo kupark bus .
Yaaan yule jamaa mpk hasira yan
Umewahi kuiona manchester united ya 2002 hadi 2004 mwishoni? Hivi unajua kama wenger walitaka kumpa timu mwaka 2002?
 
Tatizo letu sisi ni kocha tu...uwezo wa mou ndio umefikia mwisho
Mkuu radika anasema tumpe muda atengeneze timu,sasa sijui anatengenezaje timu wakati kazi yake ni kulalamikia tu wachezaji na kuwafanya wajione mizigo.

Wachezaji wanakufa moyo,hata nahodha wa kuwapa amsha amsha hayupo.
 
acha kujiona na kujisikia we jamaa halafu kwa hii komenti waonekana mjivuni mno
Wakati kichwa box huyo watu kibao wamempiga block hata sisomag post zake najua maumivu anayoyapata na bado.
 
...
IMG-20180806-WA0003.jpg
IMG_20180806_223621_632.jpg
IMG-20180806-WA0001.jpg
IMG_20180806_223838_780.jpg
IMG-20180806-WA0000.jpg
IMG-20180806-WA0005.jpg
 
Kwa hiyo furaha yako ni kuona timu inafeli
Timu hii ishafeli..wewe unategemea mou kubeba epl??

Nataka tu afurumishwe kabla hata msimu haujaisha..i dont give a *** na timu kufaulu au kufeli,ikiwa mourinho ni kocha pale OT
 
Jana tu kacheza na bayen mechi ya kirafiki cyo ya kupoteza chochote.bora wangecheza mpira wa kuvutia cyo kupark bus .
Yaaan yule jamaa mpk hasira yan
Mkuu wewe ni mwanafunzi wa history siku ukiwa free na una muda wa kujisomea utasoma history hio hio ama utafanya hisabati?

Kama ana plan za kupaki basi kwanini mechi za kujipima asipaki? Si ndo uzoefu unapopatikana hapo?
 
Kama ishu ni kujenga tim bora asilie kununua wachezaji.atumie hao hao
Katumia pesa nying kufanya usajili hakuna progres yyte misimu miwili .
Mbaya zaidi unaenda na defence mentality kwa timu kaliba ya leicester tot?
Bora ungedifens na man city cyo vibwengo vngn
So misimu yote miwili timu haina progress? --Tulivyoshika nafasi ya 6 mpaka kuja nafasi ya 2 sio progress?
-Kutoka point sitini na kitu mpaka point zaidi ya 80 sio progress?
-Kutoka kutoingia kabisa uefa ama kutolewa makundi kwa miaka takriban minne mpaka kuingia mtoano Uefa sio progress?
-kuzifunga timu zote 5 za juu ndani ya msimu mmoja sio progress?
 
BREAKING: manchester united have turned down a €50M + yerry Mina + Andre gomes offer for Paul pogba from barcelona
 
JM mbinu zake mnaziona nzuri kwa last season kwa sababu vigogo wengi walikua hovyo ila kama usipofanyika usajili wa beki au natural winga basi ubingwa tusahau labda top 4
 
Jamani kila MTU na anachokikubali katika gem LA mpira, kwangu Mimi huyu jamaa nilikuwa naona ni Potential ever since and remain my FAVOURITE PLAYER OF ALL THE TIME. Bwana RvP
 
Back
Top Bottom