Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

JM huwa anaexpectation kubwa sana kwa wachezaji anaowasajili ndo maana wakiyumba kidogo maneno mengi sana. Jose anaweza akasajili mchezaji alafu akamuweka bench tu na kuanza kutumia wale wale asiowaamini. Victor yupo, Rojo yupo lakini bado unalialia tu.. JM tatizo sio wachezaji, tatizo ni mfumo wake na maneno ya ajabu. Siamini kama kuna mchezaji hataki kukipiga ndani ya uzi wetu ila attitude za JM ni shida jamani, Fred mtaona atakachofanya.
 
Kuna Mtu anaitwa Radika subiri majibu yake kwa ulichoandika hutokaa uamini.

Radika anajua ubovu wa JM sema anajipa matumaini
Hapama kocha sio mbovu mpira umebadilika sana ukiangalia barcelona wanavyohangaika kusajili halafu mnataka kocha amlazimishe lingard acheze kama coutinho au salah ni utani huyo mourinho alimkuta sir alex na madrid old traford katufanyaje?
 
Mchezaji anacheza kulingana na majukumu aliyopewa na kocha wake.
 
Swali langu linarudi palepale Mou analalamika usajili je mpaka sasa tokea amekuja united amesajili wachezaji wangapi?? Kati yao wangapi wanaperform sawasawa na walikotoka? Pogba amekuja akiwa WC player micki, na wengine hawa wote wameshindwa kufanya vizuri shida ni nini?.

Kama alinunua wachezaji wazuri lakini wameflop na amekuta kina Martial Rashford wakiwa vizuri wote now wameflop wakija hao wengine tuna uhakika gani kama wataperform vizuri au ndo mauza uza yataendelea.
Kuna timu ndogo tu pale EPL zinapiga mpira mzuri kuliko sisi na hawana World class players.
Hitimisho Mou ndo tatizo pale period.

Mkuu The Great Emmanuel,katika majibishano yote hapo juu kuhusu uwezo wa Mourinho wewe ndio umetoa summary nzuri zaidi,full stop.
 
Asipotimiza majukumu yake kwa usahihi inakuwaje?
Unanunua, tatizo la JM ananunua watu ambao wanashindwa kutimiza majukumu yao vizuri. Sasa yeye aachwe tu anunue watu ambao kuwatumia itakua ngumu? Nasemaje hata huyu fred atapata shida sana.
 
mkuu kuna haja gani ya kupiga mpira mwingi halafu huna kitu?
Hamna haja mkuu lakini timu yetu haina mchezo mzuri hata kidogo kupiga tu pasi 10 ni shida hata kama tunashinda mechi tumekua wa pili lakini bado haifurahishi kuangalia mkuu.
 
Unanunua, tatizo la JM ananunua watu ambao wanashindwa kutimiza majukumu yao vizuri. Sasa yeye aachwe tu anunue watu ambao kuwatumia itakua ngumu? Nasemaje hata huyu fred atapata shida sana.
Unamkumbuka kleberson,bebe,veron,pique ni baadhi tuliwasajili wakashindwa kuwika hata madrid wamesajili watu wengi hawakuwika lakin hamna aliesema kwa kuwa hawakuwika bas hamna kusajili

Pia kila kocha na mfumo wake huwez kulazimisha mourinho acheze kama pep
 
Rates
IMG_20180731_222837.jpg
 
Namba tano wa muhumu sana tena mzoef goli alilofunga benzema linatoa majibu
 
Back
Top Bottom