Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwani wachezaji ni hao watano tu? au wangeweza kuwa 10?

Excuses zimeanza mapema kabla msimu haujaanza, ili akiboronga aje aseme "nilitaka wachezaji watano Man utd wamenipa wawili"

Kama kocha lazima atambue kuwa kuna mchezaji kukubali na kukataa, sasa kama amekataa manake ndo Mou kwisha hana la kufanya?

How much did we spend on players during his time? are we spending the money wisely?
Beki Mdachi atua City.

Manchester City wamethibitisha usajili wa beki Philippe Sandler kutoka klabu ya Ligi kuu ya Uholanzi , PEC Zwolle.

Sandler mwenye umri wa miaka 21 ni zao la shule ya soka ya Ajax ana urefu wa 6ft 2in akicheza nafasi ya beki wa kati huku pia akiwa ana uwezo wa kucheza eneo la kiungo mzuiaji.
 
You've no right to shut my mouth!
By the way! Hizo misunderstanding zako Kwenye Articles na Comments ndiyo zinazokufanya uonekane Joker.
You've No right to baptize me A joker.

Hiyo tabia ya kuvamia nyuzi za Mabwana zako na kuacha Uzi wako Wa liverpool unakufanya uonekane "Sniper Prostitute"

Hollah At You Boy. Sorry.
 
Beki Mdachi atua City.

Manchester City wamethibitisha usajili wa beki Philippe Sandler kutoka klabu ya Ligi kuu ya Uholanzi , PEC Zwolle.

Sandler mwenye umri wa miaka 21 ni zao la shule ya soka ya Ajax ana urefu wa 6ft 2in akicheza nafasi ya beki wa kati huku pia akiwa ana uwezo wa kucheza eneo la kiungo mzuiaji.
So what who cares?

Are you city PR???
 
GOaT
IMG_20180731_201736.jpg
 
Mabishano yenu yanaonesha hii timu tumezoea high standards maanake hata namba 2 haitoshi.
GGMU
ndugu umeua kweli tupu yaani
mpira unauma jamaa yangu yani bora nikose papuchi nitaona kawaida lakini sio kukosa kuitazama united na ikifungwa ndio balaaaaa kabisaaaa amani sina
 
Swali langu linarudi palepale Mou analalamika usajili je mpaka sasa tokea amekuja united amesajili wachezaji wangapi?? Kati yao wangapi wanaperform sawasawa na walikotoka? Pogba amekuja akiwa WC player micki, na wengine hawa wote wameshindwa kufanya vizuri shida ni nini?.

Kama alinunua wachezaji wazuri lakini wameflop na amekuta kina Martial Rashford wakiwa vizuri wote now wameflop wakija hao wengine tuna uhakika gani kama wataperform vizuri au ndo mauza uza yataendelea.
Kuna timu ndogo tu pale EPL zinapiga mpira mzuri kuliko sisi na hawana World class players.
Hitimisho Mou ndo tatizo pale period.
 
jamani ngoja niwakumbushe kidogo kipindi ambacho mou anasajiliwa kwa mara ya kwanza pale chelsea kila msimu alikua anapewa fungu la kutosha kusajili wachezaji anaotaka yeye ikafika kipindi akawa na kikosi kipana sana mpaka aliesub unatamani awepo first eleven......nakumbuka misimu yake minne kabla hajafukuzwa united tulichezea sana vichapo ushindi kwetu ilikua sare na pale stamford palikua pamoto hakuna mfano enzi izo huwezi amini mpaka jamaa anafukuzwa babu fergie alifanikiwa kumfunga mechi moja tu tena moja bila.....na mpaka anaondoka aliacha kikosi kipana sana mpaka aliemfuatia hakua na sababu za yeye kusajili wachezaji wengine....
sasa kwanini ed hataki kumpa huyu jamaa afanye yake????swali lipo hapa
 
Alivyorudi chelsea mara ya pili na team ilipotaka kushuka daraja hakupewa fungu la kusajili???

Nayasubiri majibu yako kwa hamu mkuu.
 
Swali langu linarudi palepale Mou analalamika usajili je mpaka sasa tokea amekuja united amesajili wachezaji wangapi?? Kati yao wangapi wanaperform sawasawa na walikotoka? Pogba amekuja akiwa WC player micki, na wengine hawa wote wameshindwa kufanya vizuri shida ni nini?.

Kama alinunua wachezaji wazuri lakini wameflop na amekuta kina Martial Rashford wakiwa vizuri wote now wameflop wakija hao wengine tuna uhakika gani kama wataperform vizuri au ndo mauza uza yataendelea.
Kuna timu ndogo tu pale EPL zinapiga mpira mzuri kuliko sisi na hawana World class players.
Hitimisho Mou ndo tatizo pale period.
We jamaa umerise fact ambayo sijawahi kuifanyia Logic Thinking.

Hongera.
 
Alivyorudi chelsea mara ya pili na team ilipotaka kushuka daraja hakupewa fungu la kusajili???

Nayasubiri majibu yako kwa hamu mkuu.
ulishawahi kulamba matapishi halafu ulijisikiaje baada ya kuyalamba
 
Sasa mkuu asipolaumiwa kocha kwenye kukosa back up alaumiwe nani?
Mkuu ukimsikiliza kocha anasema aliomba wachezaji watano na mpaka sasa ni wachezaji wawili tu aliopewa ukimtoa bwana lee alikuja kumreplace joel anayeondoka kwa mkopo
Sasa hapa tunamlaumuje kocha kama bodi inazingua kusajili majembe anayotaka. Mi nafikiri kocha angepewa wachezaji anaowataka na ikitokea akashindwa ndo tumgeukie, ila kwa sasa sion sababu ya kumlaumu kocha
 
huyu ni nani...samahanini naanzia mbali kumtetea Mou halafu nitakuja kuweka vizuri kwenye mstari
1533060932761.jpeg
 
Back
Top Bottom