Magazeti yanamchonganisha pogba na Mourinho .Hivi ni kweli Mou kasema hamuhitaji pogba katika kikosi chake?
Niliona comment yake nikachoka kabisaHujui mpira aiseee. Pace ya next season ikoje? Kingine kama humjui mchezaji husimtaje. Umenipa moto sana na kama ungekuwa karibu ningekuzibua.
Kabla ya derby Pep alidai dirisha la Jan alifanya attempt ya kumsajili POGBA,baada ya mechi Mou akampiga kijembe kwa kusema anahisi dau la POGBA litakuwa ni kubwa zaidi baada ya kuwapiga zile goli mbili.Magazeti yanamchonganisha pogba na Mourinho .
Kabla ya derby Pep alidai dirisha la Jan alifanya attempt ya kumsajili POGBA,baada ya mechi Mou akampiga kijembe kwa kusema anahisi dau la POGBA litakuwa ni kubwa zaidi baada ya kuwapiga zile goli mbili.
Mau akimpenda mchezaji atajitahidi kumfanya kila mtu ampende (kumpa chances,kumkingia kifua ndani na nje ya uwanja)mfano,fellain.KESI ILIANZA HIVI:
• Mino Raiola alimshambulia Pep Kuwa Alimtendea Vibaya Mcheza Wake Anayemkalia Uwakala Ibrahimovic alipokuwa Barcelona.
• Pep Akamjibu Kwa Kusema "Raiola Alinifata Wakati Wa January Aniuzie Pogba Kutoka Man Unite, Lakini Nilimkatalia Kuwa Hana Thamani Ya Pesa Atakayouziwa.
• Mourinho Akajibu Kwa Kusema "Vita Vya Maneno Vya Pep na Raiola Havinihusu.
Hapa Pana Ukweli Kuwa Raiola Alitaka Kuwasaliti Man United Wakati Wa January Kushawishi Dili la Kumuuza Pogba ili Akunje Mkwanja! Na Hii Ndiyo Sifa Ya Raiola Hata Ferguson anamtambua Vyema.
Next! Sijui Kitaendelea Nini Kati Ya Hawa Watatu....
Hamna uwezo wa kumpita hata spurs ila mna uwezo wa kuchukua uefa?sote Liverpool Tunaelewa Tokea Mwanzo Wa Msimu Kuwa Hatuna Uwezo Wa Hata Kumpita Spurs tukakamata Nafasi Ya Tatu achiliambali Man U.
Nadhani Ni [HASHTAG]#Malafyale[/HASHTAG] peke Yake Ndiye Mwenye Ndoto ya Kumaliza Nafasi ya Pili Msimu Huu.
We ukiwa kama nani unatudhibitishia hapa kwamba ni kweli? Mourinho mwenyewe alisema hajui ila someone from somewhere madongo kuinuka huko anakuja kutuambia kuwa ni kweli,KESI ILIANZA HIVI:
Hapa Pana Ukweli Kuwa Raiola Alitaka Kuwasaliti Man United Wakati Wa January Kushawishi Dili la Kumuuza Pogba ili Akunje Mkwanja! .
Mtu anaemponda Martial mimi namshangaa sana kwa kweli sijui wanajua kuangalia vipaji au wanakurupuka tu.
Hamna uwezo wa kumpita hata spurs ila mna uwezo wa kuchukua uefa?
Hivi nyie vikongwe mna matatizo gani lakini ?
Liverpool kamfunga manchester city kisha manchester united kawatandika wote wawili walitaka kutengeneza ecosystem sisi tukakataa huo mchezo tafuna wote wawili.
Liverpool kamfunga manchester city kisha manchester united kawatandika wote wawili walitaka kutengeneza ecosystem sisi tukakataa huo mchezo tafuna wote wawili.
Liverpool kamfunga manchester city kisha manchester united kawatandika wote wawili walitaka kutengeneza ecosystem sisi tukakataa huo mchezo tafuna wote wawili.
😀😀😀 Yani Tokea Msimu Huu Wa 2017/18 uanze Sijawahi Kuwaona Mumefurahi Zaidi Kuliko Mara Hii Kumfunga City Kiasi Ya Kwamba Hata Mulipotufunga sisi Mulikuwa Active si Zaidi ya 24hrs. Lakini Naona Ushindi Wa City Mumeshatengeneza Madocumentary Kibao! Nini hasa siri ya Furaha Ya Ushindi Wenu huu? 😀
Ushindi Wenu Wa Juzi Umeleta Faida 3:
1) Zile Sifa Zote Za Man City Kupewa Promo Kuwa Ndiyo Kikosi Bora Cha Miaka Yote [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG], Na Zile Sifa Zote Za Guardiola Kuwa Kaja Kuiumbua na Kufundisha Mpira [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG], Vyote Hivyo Vimetoweka Kwa Mechi Ya Juzi Mulipomfunga.
Sasahivi Guardiola Anaonekana Kama Mtu aliyeishiwa Mbinu.
Na Arsenal Ya 2003/04 na Chelsea ya 2004/05 zinaonekana Bora Kuliko Man City Hii.
2) Kuwafunga Man City Mumetusaidia Kwa Kiasi Kikubwa Kuwaondoshea Confidence Man City Zidi ya Mchezo wetu Wa Leo.
Wanaweza Kutufunga Of course Lakini Utata Upo Je Wanayoconfidence ya Kututoa Kwa Kutufunga 4 - 0 ?
3) Mumewabainishia Kuwa Licha Ya Kutumia Mamia Ya Mamilioni ya £ lakini Defence Yao Bado Ni Uchochoro.