Miaka ya hivi karibuni United imekua ni underdog kwa city, sio kipindi cha mourinho tu, van gaal, moyes hata Ferguson mwenyewe huku mwishoni city alikua akimsumbua sana.
Mbinu za mourinho ni kukupa makombe kama unataka entertainment basi WWE is better for you. Mechi hata bado haijachezwa watu mshaanza kulalamika sababu ya walichofanya livapuli jana, what the fvck??????????
Mourinho hajawahi fungwa home and away na kocha mmoja and am sure haitatokea kwa msimu huu.