Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mie nimeiona kazi ya fundi herrera kuwakata pumzi city kwa kukaa na mipira mguuni hivyo kusababisha wapanic. Nadhani ndio mchezaji anayeongoza kwa kuchezewa faulo nyingi kwenye derby ya leo.
GGMU.
 
Hivyo ndivyo unapaswa kucheza na Pep's team. Gegen style....siku zote Pep timu zake ushinda kwa ku-possess sana mpira. Ile game ambayo Scousers waliwapiga Shitty 3-0 ndiyo reference ya hivi karibuni.

Nina imani next season, United wata-compete for EPL and even UCL.

[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…