Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Performance ya leo sijaiona kwa muda mrefu sana.
Imenikumbusha glory days chini ya utawala wa Sir Alex Ferguson pale ambapo tulikuwa tunapambana mpaka dakika ya mwisho.
Inatokea mara chache sana katika career ya Mourinho, kwenye big match tena akiwa ugenini kufunguka kama alivyofanya leo.
Ahsante Mourinho kwa kulinda heshima na Brand ya Man Utd leo kwa kutompa ubingwa City.
Daima utakumbukwa na wanazi wa Man Utd kwa mechi ya leo.
Manchester is Red.