Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aguero kavunjwa na young ndani ya kumi na nane refa kapeta...Fernandinho narye anamvunja Lingard katikati ya uwanja..mpira umesimama sasa.
 
Pogba anamvunja Otamendi hapa..ngumi zinakunjwa ni noma sana
 
Lingard out mcTominay in...muda wa kupaki basi huu...84th min
 
Hongereni kwa ushindi mnono ila timu yenu bado kabisa . Ni mwaka wa De Gea huu ama sivyo msingekuwa mlipo.Najua city watalibeba eventually ila sikutaka Pep alibebe kirahisi rahisi bila maumivu. Nasubiri Liverpool wawagonge City j4.
 
Back
Top Bottom