Nimerudi kuwaashangilia kuwachelewesha City kulibeba japo kwa wiki moja. Msimamo wangu upo pale pale nitarudi hapa Wenger akiondokaBaada ya kushinda tumechi tusito na maana hata wewe umerudi jukwaani!
Tafuta timu nyingine tu maana Wenger bado ana afya njema kabisa.Nimerudi kuwaashangilia kuwachelewesha City kulibeba japo kwa wiki moja. Msimamo wangu upo pale pale nitarudi hapa Wenger akiondoka
Haya Dua zako zinasikika 2-3Nimerudi kuwaashangilia kuwachelewesha City kulibeba japo kwa wiki moja. Msimamo wangu upo pale pale nitarudi hapa Wenger akiondoka
Mkuu,goli la pili hili Alexis ana-assist.Sio hawamtaki..Sanchez ni mzigo mkubwa amecost timu nzima, winga ya kushoto imekufa kabisa.
Wala sio mabadiliko just a little bit desire and effort needed.
Hahaahhhhhh... Tengua kauli mkuuMwanitesa United Wanakeketwa bila ganzi Huko Etihad stadium
Andaa hizo chapati mkuuMkuu Ukishawachinja Najiandaa Na Chapati Kuja Kuwanywa Supu 😀😀😀



Huu muda unafaa kulinda goli?Gundugan out Aguero in. 75th Min.