Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Siku mourinho akiuuza huyu jama nitaacha kuishabikia hii team mpaka mou akifukuzwaa... Sijaona sababu yoyote ya kiufundi kwanini mou anamtenda pogback mpaka kutokea tetesi za kuuzwa
 
Attachments

  • 1522176147262.png
    1522176147262.png
    112.9 KB · Views: 53
Tetesi

Barcelona wanapanga kuwasilisha ombi la kutaka kumchukua beki wa Manchester United Luke Shaw mwisho wa msimu. Beki huyo wa kushoro wa miaka 22 kutoka England amekosolewa sana na meneja wa United Jose Mourinho wiki za karibuni. (Mirror)

Meneja wa Manchester United Mourinho ameandaa orodha ya wachezaji sita ambao anaamini wanaweza kujaza nafasi ya Michael Carrick anayeelekea kustaafu. Orodha hiyo inashirikisha nyota wa Bayern Munich kutoka Chile Arturo Vidal, 30, na Mwitaliano anayechezea Paris St-Germain Marco Verratti, 25. (Manchester Evening News)

United wataimarisha juhudi zao za kutaka kumnunua beki wa Celtic ambaye thamani yake inakadiriwa kuwa £25m Kieran Tierney mwisho wa msimu. Mourinho anataka sana beki huyo wa miaka 20 mzaliwa wa Manx, Scotland ajiunge na klabu hiyo na anatarajiwa kuwasilisha ofa karibuni. (Mirror)

Mchezaji nyota wa Brazil Ronaldinho amefichua wkamba alikuwa saa 48 karibu na kujiunga na United mwaka 2003 kujaza nafasi ya David Beckham aliyekuwa amehamia Real Madrid. Badala yake mchezaji huyo wa miaka 38 alijiunga na Barcelona pale Sandro Rosell alipoteuliwa rais wa klabu hiyo. (FourFourTwo)

Mabingwa wa Ufaransa Monaco ndiyo klabu ya karibuni zaidi kuonesha nia ya kumtaka kiungo wa kati wa Manchester United Marouane Fellaini. Mkataba wa mchezaji huyo wa miaka 30 kutoka Ubelgiji unamalizika mwisho wa msimu na anatarajiwa kuondoka Old Trafford. (Mail)

Huyu mou usajili wake unaonyesha tu jinsi alivyo mpita njia OT,Vidal 30+ wa nini pale OT?
 
"The football I grew up playing is no longer there. Today, all players care about is their cars, their shoes with their names on, and their image. While for me, the only thing that counted was football. Nothing else."

- Miroslav Klose.

Alichosema klose kipo kwa wachezaji wetu wengi sana na ndio kinaturudisha nyuma.

Jana sio leo na Mzee hawezi kuishi kama kijana.
 
Mara willian 29+...yaani sajili za ovyo ovyo..
lindelof, baily, pogba, lukaku wote wamesajiliwa makinda hamjaona? pia timui yetu maveteran wengi sana wanaondoka au wameondoka, watu kama carrick, zlatan, rooney, etc timu imebaki na makuzi tu kina rashford, martial, lingard.

yani kifupi timu yetu ni ya kitoto sana inataka watu wazima kila idara kuwatuliza watoto.
 
Hao 30+ wakiwa ktk kila idara ni hatari. Kwanza huwa naamini hata usajili Wa zlatan, shcweinsteiger haukuwa sahihi yani utadhani makocha walipanga dili na wachezaji husika ili wapige dili la hela tu. Halafu sijui kwa nini huwa tunakomaa sana na wachezaji ambao ni past notorious rejects na mbaya zaidi umri baada ya kuwatupa mkono ndipo wanakuja kula mafao yao Man U. Mf hata Gareth Bale Man U wamehangaika nae tangu enzi za Ferguson amekuwa haitaki hii timu pamoja na kuahidiwa hela nyingi lakini bado hatulali juu yake na sasa kwa sabab Madrid kuna sintofahamu na washabiki hawamkubali ndio anataka kuja japo na yenyewe ni kwa mbinde
 
-zlatan mtu ambaye amefunga kila ligi kubwa, ametupa makombe 2 yeye mwenyewe mwaka juzi/jana na ana mchango kwenye kombe la tatu
-bastian mtu ambaye ameshinda makombe yote makubwa ya world cup na champions league.

mkuu kama unaona hao watu hawana mchango kwenye kikosi sijui hata nikujibu nini. ila ufahamu mpira sio dakika 90 tu.

mchango wa zlatan kwa watu kama martial au Rashford hakuna kocha yeyote duniani anaeweza kuufundisha. utabaki kuwa wa kipekee tu. wachezaji wanakula pamoja, wanatrain pamoja, wanasafiri pamoja etc mpira sio dakika 90 tu.

fergie anasifika kwa kukuza watoto ila hizi ni baadhi ya sajili ambazo kwa logic yako hazifai.

1. Tedy sherigham kibabu toka spurs, kina miaka 31 una wachezaji wazuri kama cole, cantona, soljker na baadae akaongezwa york cha nini hiki kibabu?

2. kibabu chengine henrik larson kilikuja january kwa mkopo wa miezi 3 kilicheza mechi chache na kufunga magoli 3 na mwezi march kaondoka.

ila wote hao pamoja na kuwa wazee na kufunga magoli kidogo ni wachezaji ambao man u haitakuja kuwasahau kamwe. mchango wao ulikuwa mkubwa sana.
 
Hamna kitu nachukia kama mchezaji alyewahi kusumbua ktk ujana wake alipohitajika halafu uzeeni ndo anakuja kukubali na bado akawa na madoido meengiii na terms zake kama mshahara bado anazikaza as if kule anakotoka ndo alikuwa anafanya kazi sasa ndo kaamua kuja kuchukua pension yake. Ni kweli kabisa Hawa wachezaji wakati mwingine ni muhimu sana ktk kuwajenga wachezaji wadogo ila isiwe too much. Larson alikuwa available nadhani hata terms za malipo na vitu vingine haikuwa vigumu. Bastian ali flop kule Bayern na alikuwa analipwa kidogo alipokuja man u aka double mshahara cjui vitu vingine kama image rights n.k, Zlatan alikuwa yupo ukingoni akaja kwetu na mshahara Mkubwa though alikuja free, Bale kama ikitokea amekuja atataka salary kubwa kuliko ya pale Madrid japo angebaki Madrid angeendelea kulipwa hivo hivo manake yeye anapenda kuwa pale huku kwingine ni mapesa tu, Alexis mshahara ni Mkubwa sana hasa kwa umri wake japo bado ana miaka miwili hadi mitatu ya kucheza kiushindani kweli. Hivo wachezaji Wa umri Wa kawaida 25-28 hawapatikani kweli?
 
Kwanza Bastian hakuflop Bayern ni mchezaji aliyepata mafanikio makubwa Bayern & Germany umri ulishamtupa na majeruhi
Nakubaliana nawe kuhusu kumkosa mchezaji akiwa na umri mdogo halafu kuja kumsajili uzeeni (Bale,Moura) sitaki kusikia kabisa wakija United but wachezaji wakongwe wana mchango wao kwenye dressing room kwenye timu yeyote Arsenal hawajapata tena mchezaji aina ya Vieira,Roy Keane alikuwa na mchango mkubwa sana kwenye careers ya wachezaji wengi waliomkuta pale United Chelsea still bado wanakosa mchango wa JT,advantage ya mchezaji mkongwe pia anaweza kukubali kuwa backup player tofauti na chipukizi ambao wanataka wapate nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza.Recently United iliondoa wakongwe karibia wote (Rio,Vidic,Evra,Fletcher,Rooney,RVP na Carick anaondoka) so Valencia,DDG,Young na Smalling ndio wakongwe waliobaki

Issue ya mshahara mikubwa kwa United haiepukiki hata wakisajili mchezaji wa miaka 17-25 still watalipwa mishahara mikubwa ukilinganisha angesajiliwa na timu nyingine angalia bei walizonunuliwa Martial,Lukaku na Pogba na mishahara wanayolipwa.Wachezaji wengi bora wenye 25-28 wako kwenye peak ni expensive na klabu nyingi haziwauzi kiurahisi
 
Hamna kitu nachukia kama mchezaji alyewahi kusumbua ktk ujana wake alipohitajika halafu uzeeni ndo anakuja kukubali na bado akawa na madoido meengiii na terms zake kama mshahara bado anazikaza as if kule anakotoka ndo alikuwa anafanya kazi sasa ndo kaamua kuja kuchukua pension yake. Ni kweli kabisa Hawa wachezaji wakati mwingine ni muhimu sana ktk kuwajenga wachezaji wadogo ila isiwe too much. Larson alikuwa available nadhani hata terms za malipo na vitu vingine haikuwa vigumu. Bastian ali flop kule Bayern na alikuwa analipwa kidogo alipokuja man u aka double mshahara cjui vitu vingine kama image rights n.k, Zlatan alikuwa yupo ukingoni akaja kwetu na mshahara Mkubwa though alikuja free, Bale kama ikitokea amekuja atataka salary kubwa kuliko ya pale Madrid japo angebaki Madrid angeendelea kulipwa hivo hivo manake yeye anapenda kuwa pale huku kwingine ni mapesa tu, Alexis mshahara ni Mkubwa sana hasa kwa umri wake japo bado ana miaka miwili hadi mitatu ya kucheza kiushindani kweli. Hivo wachezaji Wa umri Wa kawaida 25-28 hawapatikani kweli?
mkuu hela usizungumzie. mchezaji yoyote akija man U anaingiza hela ndefu kuliko mshahara wake. zlatan si ndo huyu tunaesema mauzo ya jezi tu yalilipa hela ya pogba?

https://www.totalsportek.com/football/clubs-with-most-shirt-sales

mauzo ya jezi ya 2016/17 zlatan alikuwa ni wa 4 dunia nzima nyuma ya Ronaldo, Messi na Pogba. kina Neymar, Bale wote walipitwa na Zlatan. ongezeko la jezi yake ilikuwa ni asilimia karibia 800 (795%)

Bastian vile vile mwaka wake alishika nafasi ya 4 kwa mauzo ya jezi duniani.

Manchester United news: Bastian Schweinsteiger shirt sales far greater than at Bayern Munich | Metro News

ukija kwa Sanchez yeye ndo amevunja rekodi kabisa tena rekodi zote za dunia sio za man u tu.
-mauzo yameongezeka kwa kiasi kikubwa kushinda wakati wowote toka club ianzishe
-keyword [HASHTAG]#Alexis7[/HASHTAG] imeongoza kutrend twitter kushinda keyword yoyote ya mpira wa miguu.
-post ya kusajiliwa kwake insta ilikuwa na likes milioni 2 kushinda hata usajili wa neymar kwenda psg.

sasa imagine mchezaji wa bure amegenerate buzz kushinda mchezaji ghali duniani. bado hajalipa tu hako ka mshahara? .

Man u ndio timu pekee ambayo mshahara wake ni chini ya nusu ya pato lake. Man u wanaweza waka double mishahara ya wachezaji na bado wakawa kwenye financial position nzuri. Hela zote hizo zinatengenezwa na mashabiki na wachezaji, kwanini wasilipwe vizuri wanaoingiza hizo hela?
 
Hao 30+ wakiwa ktk kila idara ni hatari. Kwanza huwa naamini hata usajili Wa zlatan, shcweinsteiger haukuwa sahihi yani utadhani makocha walipanga dili na wachezaji husika ili wapige dili la hela tu. Halafu sijui kwa nini huwa tunakomaa sana na wachezaji ambao ni past notorious rejects na mbaya zaidi umri baada ya kuwatupa mkono ndipo wanakuja kula mafao yao Man U. Mf hata Gareth Bale Man U wamehangaika nae tangu enzi za Ferguson amekuwa haitaki hii timu pamoja na kuahidiwa hela nyingi lakini bado hatulali juu yake na sasa kwa sabab Madrid kuna sintofahamu na washabiki hawamkubali ndio anataka kuja japo na yenyewe ni kwa mbinde

Zlatan na Schweinstiger walisajili kwasababu ya kibiashara zaidi. Na ndio tabia ya Ed Woodward, anangalia ni mchezaji yupi atauza jezi na ataongeza ukubwa wa brand ya timu.
 
mkuu hela usizungumzie. mchezaji yoyote akija man U anaingiza hela ndefu kuliko mshahara wake. zlatan si ndo huyu tunaesema mauzo ya jezi tu yalilipa hela ya pogba?

https://www.totalsportek.com/football/clubs-with-most-shirt-sales

mauzo ya jezi ya 2016/17 zlatan alikuwa ni wa 4 dunia nzima nyuma ya Ronaldo, Messi na Pogba. kina Neymar, Bale wote walipitwa na Zlatan. ongezeko la jezi yake ilikuwa ni asilimia karibia 800 (795%)

Bastian vile vile mwaka wake alishika nafasi ya 4 kwa mauzo ya jezi duniani.

Manchester United news: Bastian Schweinsteiger shirt sales far greater than at Bayern Munich | Metro News

ukija kwa Sanchez yeye ndo amevunja rekodi kabisa tena rekodi zote za dunia sio za man u tu.
-mauzo yameongezeka kwa kiasi kikubwa kushinda wakati wowote toka club ianzishe
-keyword [HASHTAG]#Alexis7[/HASHTAG] imeongoza kutrend twitter kushinda keyword yoyote ya mpira wa miguu.
-post ya kusajiliwa kwake insta ilikuwa na likes milioni 2 kushinda hata usajili wa neymar kwenda psg.

sasa imagine mchezaji wa bure amegenerate buzz kushinda mchezaji ghali duniani. bado hajalipa tu hako ka mshahara? .

Man u ndio timu pekee ambayo mshahara wake ni chini ya nusu ya pato lake. Man u wanaweza waka double mishahara ya wachezaji na bado wakawa kwenye financial position nzuri. Hela zote hizo zinatengenezwa na mashabiki na wachezaji, kwanini wasilipwe vizuri wanaoingiza hizo hela?

Asante sana.
 
United XI vs Swansea: De Gea, Valencia, Lindelof, Smalling, Young, Matic, Pogba, Mata, Lingard, Alexis, Lukaku.

Subs: Perreira, Bailly, Shaw, McTominay, Herrera, Martial & Rashford.
 
Mambo ya kumuanzisha pogba kama mkabaji tena. Hii itatucost

GGM
 
Back
Top Bottom