KafanyajeHuyu Mata tumuache alivyo kabisa..

Pasi zake kama huna mboga unaweza kulia ugali.Kafanyaje![]()
Ha haaa utampenda sana akicheza na Lingard, ni wepesi sana na wana akili ya haraka, sio yule mvivu Martial mzitoooo.Pasi zake kama huna mboga unaweza kulia ugali.
Haha,mkuu Martial haumuelewi kabisaHa haaa utampenda sana akicheza na Lingard, ni wepesi sana na wana akili ya haraka, sio yule mvivu Martial mzitoooo.
Aende Watford kule au Bournamouth aachane kabisa na timu kubwa hizi.Haha,mkuu Martial haumuelewi kabisa
I hope unaangalia mechiMambo ya kumuanzisha pogba kama mkabaji tena. Hii itatucost
GGM
Pogba leo kaongezea rangi nyingine kichwani, kaongeza blue, lakini mguuni hana mpira kabisa, sijui ile control iliishia wapi.
P.Dyabala in,pogba out...hii vp...Sanchez karudi kwenye level yake ya juu kabisa. Anacheza mpira mzuri sana. All in all mpaka muda huu (40th min) ana 1 assit na 1 goal.
Pogba inabidi aambane sana na hali yake, nauona mwanzo wa mwisho wake.
Hakuna mchezaji kwa sasa kwenye pitch anayeonesha uwezo wa kuujua mpira km Pogba. Mpira wake ni wa burudani sana. Na ndiye anayedictate mpira upande wa UnitedSanchez karudi kwenye level yake ya juu kabisa. Anacheza mpira mzuri sana. All in all mpaka muda huu (40th min) ana 1 assit na 1 goal.
Pogba inabidi aambane sana na hali yake, nauona mwanzo wa mwisho wake.