Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hakuna mchezaji kwa sasa kwenye pitch anayeonesha uwezo wa kuujua mpira km Pogba. Mpira wake ni wa burudani sana. Na ndiye anayedictate mpira upande wa United
Mi nashangaa..mi naona pogba hayupo vibaya kama wadau wanavosema
 
Hajapoteza wala kupokwa mpira na opponent, amerelax na anacontrol ya kiwango cha juu
Mkuu kama ndio unachotaka timu utaikimbia hii..timu ya ushindi ni timu ya kukimbiza, Angalia kina deBruine wanavyokimbiza na timu inashinda goli nyingi, hapa hatuhitaji kurelax.
 
Sancez off for Rashford, Herrera in for Lingard. 75th Min
 
Mtakuwa wa 3 EPL!
Hayo ni mafanikio makubwa sana toka kuwa wa 6 mwaka jana!
Man City
Liverpool
Man United
Tottenham
 
Back
Top Bottom