Kidowle
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 1,484
- 3,260
Mcheki young anamuangalia tu hapo badala amsaidie mwamba anatambaa chiniWanamtegea sana yaani mpaka huruma

Mcheki young anamuangalia tu hapo badala amsaidie mwamba anatambaa chiniWanamtegea sana yaani mpaka huruma

Hii game ya Besiktas na Bayern nzuri kuliko ya jana Manchester United vs Sevila. Besiktas wamefungwa lakini wanacheza kwa kushambulia
Mourinho aondoshwe mara moja otherwise anaenda kuharibi timu na wachezaji kwa ujumlaTetesi
Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho anatarajiwa kuzozana na maafisa wakuu wa klabu hiyo kuhusu bajeti yake ya uhamisho huku joto la wasiwasi likipanda katika klabu hiyo, Paris St-Germain huenda ikamshawishi kuhamia Ufaransa. (Mirror)
Mourinho ameamua kuhusu kuwanunua wachezaji wanne huku wachezaji saba katika kikosi chake cha sasa wakitarajiwa kuuzwa.
United imetaka kumsajili kiungo wa kati wa Chelsea na Brazil Willian mwisho wa msimu huu huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 akitarajiwa kugharimu £60m. (Sun)
60m miaka 29Tetesi

huyu mzee asitake kuitia timu yetu umaskini.Mkuu leo kaeni mkao wa kula kushangilia matutusa wa North London vs Ac Milan....Naona leo unafuraha SANA kuliko siku ambayo Eagles iliifunga Patriots
Nafasi ya 6? mkuu utani huo, huoni huo mlima wa tofauti ya points zilizopo hapo kati ya mtu wa 2 na wa 6
Naona leo mpaka Malafyale kaibuka, kweli Utd inafuatiliwa sana hapa Duniani
*Tofauti ya mtu wa 6 na wa 7 ni points 3, halafu wa 7 yupo vizuri sana
Leo mnashinda mkuu, ondoa shakaMkuu leo kaeni mkao wa kula kushangilia matutusa wa North London vs Ac Milan....
Defence ya Arsenal ilivyo utashangaa wanaruhusu 2 goals in 5 minutes. Kushinda hili kombe ni vigumu. Kuna vichwa vigumu Europa Atletico Madrid,Lazio, Borussia Dortmund na vitimu kauzu kadhaa vinavyoweza kuzamisha meli yoyote. Ngoja tuone matokeo ya leo yatakuwaje..Leo mnashinda mkuu, ondoa shaka
Komaeni kwenye hilo kombe, msimu ujao mjiunge na sisi kucheza CL
Arsenal inatakiwa iwe kwenye kundi moja na hizo timu ulizozitaja, hata wao inabidi wawe wanaitaja Arsenal kuwa ni kikwazo kwao kuchukua ubingwaDefence ya Arsenal ilivyo utashangaa wanaruhusu 2 goals in 5 minutes. Kushinda hili kombe ni vigumu. Kuna vichwa vigumu Europa Atletico Madrid,Lazio, Borussia Dortmund na vitimu kauzu kadhaa vinavyoweza kuzamisha meli yoyote. Ngoja tuone matokeo ya leo yatakuwaje..
Kama Arsenal wanaweza kufungwa na Brighton wanaweza kufungwa na timu yoyote itakayobaki Europa. Arsenal hawana imani na lolote. Wapo wapo tu.Ngoja niwajibike..Arsenal inatakiwa iwe kwenye kundi moja na hizo timu ulizozitaja, hata wao inabidi wawe wanaitaja Arsenal kuwa ni kikwazo kwao kuchukua ubingwa
Suala je Arsenal ina imani hiyo?
Mourinho aondoshwe mara moja otherwise anaenda kuharibi timu na wachezaji kwa ujumla
Kama Arsenal wanaweza kufungwa na Brighton wanaweza kufungwa na timu yoyote itakayobaki Europa. Arsenal hawana imani na lolote. Wapo wapo tu.Ngoja niwajibike..