dah ila Mou nae anajitakia majaribu mengine........huu mfumo wake wa mshonge kila akilazimisha kuutumia huwa hamletei matokeo ila cha ajabu anakomaa nao tu hii 4-2-3-1 , kwa muono wangu unatakiwa uwe na midfield wenye nidhamu na aggressive kusukuma team sana sana.
mfumo ninaona hata wachezaji wanaupenda ni 4-3-3 ila nashangaa jamaa anawalazimisha wacheze na mshonge wake tu.
Fellain huwa ni mzuri endpo team inacheza vizuri au imewazidi wapinzani ila kinyume chake huwa ni majanga
lakini hatuna namna , kila kocha ana madhaifu yake. akuna kocha atatupa furaha mara zote. Kuna kipindi ata Fergason alikua anafanya fyongo za ajabu ajabu.
kikubwa Ed Wood aendelee kumtimizia mahitaji yake ya wachezaji anaowataka Mou