Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Thanks shem. Habari za siku dada shemejiNakusalimu shemeji yangu!!
Asante sana mom. Umechelewa kweli sijui kama supu ya jogoo imebakiHahahahahahahahahaha!!!! GGMU!! Hongereni sana wadau wangu wa nguvu!! Mwaaaaaaaaa!!!
Huyu rashford ni dawa ya top six bado spurs tu tufunge ukurasa akikutungua goli la kwanza hupat sale wala ushindi
Hakuna asiyeyaogopa majogoo! Karibu supu mkuuHONGERENI Man United
Team bora imeshinda uwanjani
Mpira ni magoli sio mbwembwe
(Sikutoa salamu zangu mapema sababu nilikuwa safarini!,ndiyo mefika Ikwiriri)
Katika ligi kuu ya uingereza mechi kubwa ni ya liverpool na manchester united ushindi wa mmoja wapo ktk hii mech ni sawa na kubeba epl acha kabisa mkuu hata liverpool angenifunga wiki nisingekuwa timamu ninafuraha sana mkuu hao wengine tunawafunga wanatufunga tunalazimika kuongea kwa kuwa wanaongea ila hii ni zaidi ya mechi hasa wanapokutana ma giant.Mkuu umefurahi Sana Najua, Lakini furaha yako will not last longer haki ya nani.
Hamia Liverpool ambao hawashindi kibahatiTeam inashinda kibahati mmo mourinho atoke tu
Wakati najiunga JF ulikuwa primaryNyamaza mdogo wangu
Mkuu bado unataja hilo jina 'Martial'Wakuu sasa tunaimarika
Herrera,rojo ,pogba,martial na jones wote wagonjwa na tunachukua point 3 mourinho anajitahid fighting spirit ya timu ni ya hali ya juu mno
Hongera kwa ushindi wa jana mkuu
Asante mkuu leo mnitolee hela yangu kabak aseno tu nimembetiaHongera kwa ushindi wa jana mkuu
Ubao unasoma vizuri ila timu bado haichezi vizuri,yani kama zile mechi za mitaani (chandimu) munakusanyana kwenda kupiga game na mtaa wa jirani ni mwendu kubutua....,..sarah akigusa mpira wachezaji si chini ya watatu wanaenda kumzonga dadadeki maureen si kwa defence ile aseeh loserfool nao walikuwa wanapaka sana rangi wakiwa na mpira wanakuwa slow sana hawaoneshi hata kama wanataka goli.....Wakuu sasa tunaimarika
Herrera,rojo ,pogba,martial na jones wote wagonjwa na tunachukua point 3 mourinho anajitahid fighting spirit ya timu ni ya hali ya juu mno
Timu nzur hushinda mkuu hamnaga kombe wala point kwa timu yenye pasi nyingi kipind cha pili mourinho alibadili mbinu ya kujilinda tofaut na kipind cha kwanzaUbao unasoma vizuri ila timu bado haichezi vizuri,yani kama zile mechi za mitaani (chandimu) munakusanyana kwenda kupiga game na mtaa wa jirani ni mwendu kubutua....,..sarah akigusa mpira wachezaji si chini ya watatu wanaenda kumzonga dadadeki maureen si kwa defence ile aseeh loserfool nao walikuwa wanapaka sana rangi wakiwa na mpira wanakuwa slow sana hawaoneshi hata kama wanataka goli.....
Ila Erick ni mnyama aseeeh dah sio ule ushubwada wa alexander anold.....
Asante mkuu leo mnitolee hela yangu kabak aseno tu nimembetia
Manchester united win
Leicester city win
Newcastle win
Burnley win
Real madrid win
Barcelona win
Bado arsenal tu pliz mkuu tufanye dua.
Bailly anajiamini sana daa mtu wa mwisho halafu anampiga chenga salah aisee huyu jamaa hatar sana mhuni mwenzie rojo anaangalia tuBaadhi ya matukio mazuri ya jana. View attachment 711072View attachment 711073View attachment 711071View attachment 711074
Naona walikuwa mpaka wanamkumbatia.....tatizo liver waliingia ktk game wakijipa nafac kubwa sana ya ushindi rashid amewaonyesha nidhamu ya sokaTimu nzur hushinda mkuu hamnaga kombe wala point kwa timu yenye pasi nyingi kipind cha pili mourinho alibadili mbinu ya kujilinda tofaut na kipind cha kwanza
Siku zote mchezaj hatar hukabwa haiwezekan kumwacha afunge defence yangu ilifanya kaz nzur kumkaba salah