Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona walikuwa mpaka wanamkumbatia.....tatizo liver waliingia ktk game wakijipa nafac kubwa sana ya ushindi rashid amewaonyesha nidhamu ya soka
Fact mkuu walikuwa na comfidenc kubwa sana hasa wakiangalia safu ya ushambuliaji yao ile safu yote ya mbele hawajawah kutufunga goli toka enzi za van gaal ni coutinho na sturidge walikuwa na zali
 
Screenshot_2018-03-11-09-57-32.png
 
Mimi siku zote huwa sikubaliani na mbinu za kujilinda kwa kuacha nyumA wachezaji wengi.

Ni mbinu yenye lawama nyingi timu inapofungwa ila timu inaposhinda ni "Alhamdullah"...

Tuliimaliza mechi kipindi cha kwanza... kipindi cha pili ilikuwa ni kuja kumaliza mahesabu.

All in all Shabiki wa kweli wa team ya Manchester United furaha anayoipata kwa kumfunga Liverpool ni zaidi ya kumfunga Barcelona au Madrid.

GGMU
 
Ubao unasoma vizuri ila timu bado haichezi vizuri,yani kama zile mechi za mitaani (chandimu) munakusanyana kwenda kupiga game na mtaa wa jirani ni mwendu kubutua....,..sarah akigusa mpira wachezaji si chini ya watatu wanaenda kumzonga dadadeki maureen si kwa defence ile aseeh loserfool nao walikuwa wanapaka sana rangi wakiwa na mpira wanakuwa slow sana hawaoneshi hata kama wanataka goli.....

Ila Erick ni mnyama aseeeh dah sio ule ushubwada wa alexander anold.....
Hizo ni tactics tu mkuu. Muhimu ushindi.

Binafsi sipendi Mou anavocheza big match, kama second Half baada ya magoli, ilikuwa very risky, mpaka Bailly kujifunga ujue stress za kudefend zilikuwa kubwa. Una defend mpaka unakereka saa nyingine jinsi hupati kupumua.
 
Hajawahi kunikera mpaka leo huyu mtu.

Alipojifuga jana nilikasirika lakini sikumkasirikia yeye kabisa, nilikasirikia walivoambiwa wacheze.

Anajiamini sana tena, anaweza akakutia kiatu cha kichwa kwenye boksi ikimlazimu.
 
Ubao unasoma vizuri ila timu bado haichezi vizuri,yani kama zile mechi za mitaani (chandimu) munakusanyana kwenda kupiga game na mtaa wa jirani ni mwendu kubutua....,..sarah akigusa mpira wachezaji si chini ya watatu wanaenda kumzonga dadadeki maureen si kwa defence ile aseeh loserfool nao walikuwa wanapaka sana rangi wakiwa na mpira wanakuwa slow sana hawaoneshi hata kama wanataka goli.....

Ila Erick ni mnyama aseeeh dah sio ule ushubwada wa alexander anold.....

Timu yako imeizidi Burnley point 2, leo mkifungwa tu hiyo nafasi ya 6 mnaiachia.
 
Bailly anajiamini sana daa mtu wa mwisho halafu anampiga chenga salah aisee huyu jamaa hatar sana mhuni mwenzie rojo anaangalia tu

Ila smalling gemu ya nne hii anaonyesha utofaut

Smalling ni kama mtoto, lazima kuwepo na mtu wakumsimamia. Smalling akicheza na Bailly au Rojo anacheza vizuri sana tofauti na akicheza na Jones au Lindelof.
 
Asante mkuu leo mnitolee hela yangu kabak aseno tu nimembetia

Manchester united win
Leicester city win
Newcastle win
Burnley win
Real madrid win
Barcelona win

Bado arsenal tu pliz mkuu tufanye dua.
Kachukue pesa yako mkuu, cc gunnerz hatuna hiyana tunawapa watu pesa tu

Handcap safi
3up

Back
Top Bottom