Inawakilisha maoni ya kubuni kwa kijikaratasi ambacho Matic alipewa na Bailly alipoingia.Ina maana gani ?
Inawakilisha maoni ya kubuni kwa kijikaratasi ambacho Matic alipewa na Bailly alipoingia.Ina maana gani ?
Wakuu habari zenu naona mmetulizana hapa mnapanga kuweka basi na kumtumia mshambuliaji wenu de gea maana kila saa anasikika yeye tu
Smalling yuko vizuri sana..mechi tatu za mwisho amecheza VIZURI SANA.,huwezi kwa namna yoyote kumuweka nje eti acheze Baily ambaye katokea majeruhi ya muda mrefu. Young ni mzuri ni mkongwe mechi ngumu hizi huwa anakuwa mgumu sana, naona ndio pekee anamkaribia Valencia.
Ni wakati sasa wa Martial kukaa bench permanently..huyu dogo kaingia anakimbiza ipasavyo.
.
.