Kibwengo
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 6,825
- 5,295
Ina maana gani ?
Ina maana gani ?
Wewe unayeilinganisha Chelsea na United halmashauri yako ya ubongo haiko sawa.Chelsea yupo kundi la wakina A.villa
Hizo editingi tuIna maana gani ?
HahaaaConte n mjinga sana sub ya
Kumtoa hazard haikua na
Kichwa wala mguu




pole mkuuNenda kafund8she wewe !!!Hapana ushindi wa mechi moja hauwezi kutufanya kubadilisha mawazo juu ya Kocha Mou anajihami sana na hii imekuwa kawaida yake.
Ifike hatua wachezaji wacheze mpira wa kushambulia huku wanalinda sasa tukikaa kulinda Bila kufanya mashambulizi lazima Timu itakuwa mbovu kupindukia.
Ushindi wa leo na kesho hauwezi kunifanya niamini Mou ni chaguo sahihi kwa Man U.
Hahahahahaaa ina maana matic ndiye alikua kondakta wa bus!!
Huwez sema sio kocha wakati ni kocha ila msimu ujao ili tuwe washindani tutafute #6 matata sana ili matic arudi 8 tuwe tunakamata dimba aisee itakuwa ni kugawa dozi tuNyo nyo nyo Mourinho sio kocha haya mpeni timu Conte sasa!
Nyinyi Man United Hamuna Huruma Hata Kidogo! Na Muhakikishe Mutabeba Jukumu La Kumtoa Chelshit Kwenye Top Four.

Dogo anajua mpira sana sema ni raini mnoNi wakati sasa wa Martial kukaa bench permanently..huyu dogo kaingia anakimbiza ipasavyo.
Angefanyaje sasa wakati yule dogo wa academy kamficha hakuonekana uwanjani anafanya nini.Conte n mjinga sana sub ya
Kumtoa hazard haikua na
Kichwa wala mguu
Hahaha kweli sister.Hahaha !! leo hamna blaa blaaa waswahili wanasema ukipata furahi ukikosa jutia wacha leo tufurahi sisi hahahahhahha weeeeeitaaaaaaaa mpe kila mmoja !!!
Kesho naingiaje kidume kaziniii watanikomaaaa! !!!!
Suala sio goli ukiacha liverpool na spurs ni timu gani inaweza kuchezesha mtoto kwenye kiungo halafu akakamilisha majukum yake mbele ya cante,hazard,william na drinkingwater? Endeleen kufukuza wakina musonda.Kaliangalie goli la Willian limesababishwa na nani..
Mie natamka kocha anayetembelea nyota za wachezaj wanaojituma kama enzi za kina lampard drogba essien deco lakini sio kocha wa wachezajii wa kawaidaNa Ndiyo Nipo Hapa Navizia Zile Kauli Za "MOURINHO SI KOCHA"...
Hata hivyo Sanchez alikuwa amepwaya. Ilikuwa ni haki kumtoa.Kuna watu wanalaumu Mourinho kumtoa Sanchez na kumuingiza Bailly. Ile move ilikua ni lazima kwa sababu Conte alimtoa Moses akamuingiza Giroud kuongeza mashambulizi. So Bailly nae aliingia kwenda kuongeza ulinzi. Simple like that.
Sasa kuuliza why alimtoa Sanchez asimtoe mchezaji mwingine hilo ni suala na maamuzi ya kocha.
Timu haishambulii kwamba Man U inafungaje bila kushambulia?? Au inafunga kwa ile mipira ya goal kick???Hapana ushindi wa mechi moja hauwezi kutufanya kubadilisha mawazo juu ya Kocha Mou anajihami sana na hii imekuwa kawaida yake.
Ifike hatua wachezaji wacheze mpira wa kushambulia huku wanalinda sasa tukikaa kulinda Bila kufanya mashambulizi lazima Timu itakuwa mbovu kupindukia.
Ushindi wa leo na kesho hauwezi kunifanya niamini Mou ni chaguo sahihi kwa Man U.
Kwa ule usajili wa city nae pep ni kocha wa kundi lipi?Mie natamka kocha anayetembelea nyota za wachezaj wanaojituma kama enzi za kina lampard drogba essien deco lakini sio kocha wa wachezajii wa kawaida