Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

cc9b3f4d6c790885d7570a62b986e1a3.jpg
 
Manchester United imerudi katika nafasi ya pili baada ya Jesse Lingard kuwapa ushindi kwenye mechi kali dhidi ya Chelsea huko nyumbani Old Trafford.
Iliwalazimu Manchester United kufanya kazi ya ziada baada ya William kuiweka Chelsea kifua mbele kipindi cha kwanza.
Baada ya mapumziko United walijipanga ambapo Romelu Lukaku alimtangulia Marcos Alonso nakuisawazishia Manchester na kuwa bao lake la kwanza dhidi ya klabu yake ya zamani.
Lukaku kwa mara nyingine tena akampa Lingard mpira msafi zikiwa zimesalia dakika 15 mechi ikamilie na bila kuchelewa akasukuma wavuni.
Chelsea watabaki katika nafasi ya tano baada ya Tottenham kuwashinda Crystal Palace 1-0 mapema leo.
 
Tetesi

Kiungo wa kati mfaransa Paul Pogba yuko tayari kuondoka Manchester United ikiwa meneja Jose Mourinho ataendelea kuwepo Old Trafford. (Sun on Sunday)

Manchester United ni kati ya vilabu vikuu vinavyomtazana kiungo wa kati wa Lazio raia wa Serbia, Sergej Milinkovic-Savic, ambaye ambaye thamani yake huenda ikawa pauni mioni 80. (Sunday Mirror)

Meneja wa zamani wa Manchester United Louis van Gaal, huenda akachukua mahala pake Antonio Conte, huko Chelsea ikiwa uhusiao wake na Chlesea utazorota zaidi. (Sunday Mirror)

Kipa wa Manchester United na Uhispania David de Gea anataka mshahara wa paunia 350,000 kwa wiki ili kusalia huko Old Traford.

Kipa huyo mwenye umri wa miaka 27 analipwa pauni 180,000 kwa wiki laki yuko nyuma wa Mchile Alexis Sanchez, anayelipwa pauni 505,000 kwa wiki. (Sun on Sunday)
 
H

Hiyo ya pogba iendelee kuwa tetesi tu
 
Suala sio goli ukiacha liverpool na spurs ni timu gani inaweza kuchezesha mtoto kwenye kiungo halafu akakamilisha majukum yake mbele ya cante,hazard,william na drinkingwater? Endeleen kufukiza wakina musonda.
Ila mnajua kuchekesha. Eti akakamilisha majukumu yake kwa ni mara ngapi na sisi tumemuanzisha Hudson Odoi

Tatizo lenu nyie vitu vidogo mnataga kuvifanya viwe vikubwa na wakati ni vya kawaida ndio tatizo la mashabiki wa Manure
 
Back
Top Bottom