Unakaribishwa kuja kufukua makaburiNapita kimya kimya kwanza...
Ila baadae kidogo(kama mtapata kipigo) nitakuja na "spade" kufukua makaburi..!
Kwa wale msiotaka kuniona humu ndani ni vyema mkaniweka kwa ignore list mapema kabisa..!
Lukaku akikutana na timu ndogo ni moto.
Lukaku alikuwa anawaburuza pale Mbele, mara nyingi kulikuwa na Beki wawili mpaka watatu bado anawatoka. Assist ya goli amewabuzura wawili na watatu alikuwa Mbele yake. Ile volley aliyoitoa kipa ilikuwa inaleta goli la video.Mkuu,
Nilimuelewa jamaa ndio maana nikaandika "Labda", ila kiukweli Chelsea ni timu ndogo; YES ni timu ndogo kuifananisha na na Manchester United
Haters always wanaongea vibaya kuhusu Utd, as long as Lukaku anatufungia magoli hatujali anawafunga Swansea au Burnley inatosha
Chelsea hawana beki!? Duh!
Kuna beki amecheza mpira zaidi ya Azpillocueta msimu huu pale EPL? Rudigar waweza kumlinganisha na Ashel Young? Christensen anazidiwa na beki yupi wa kati pale Man U?
Hamkosi maneno, tungefungwa ungesema kwanini hakumuingiza baily ili alinde!!Huyu Mou bado ana mapenzi na Chalsea unamtoa Sanchez anaye jituma anaacha magoigoi uwanjani hii timu ni shida
Missing you mo!!!Mc u mtani
Kama usingeonekana leo humu basi ningepitia penye simu yangu mzimamzima nikague umejificha wapi! Kwema lakini?
Mkuu siku mbaya kwako yani 2nd place umekaa masaa 21 tuThis is Manchester United bhanaaa
Njema kaka yangu majukumu tu, kuanzia leo sisi tuko salama !!! HahahaZa siku dada angu? Naona umepotea sana aisee!
Kinachonifurahisha ni kwamba hakuna aliye salama, sio chelsea, arsenal, Manchester , wala liverpool wote ni kilio tu.
Ni kawaida ya mashabiki wa Man Utd. Eti Lukaku anavyocheza na timu ndogo. Ingekua timu ndogo ungepaki basi.? Mengine ngekewa tu mchezaji mmoja ndio anaibeba timu na ukubali ukatae huna kocha.Mnabwabwaja sana nlikwambia huna ubavu wa kushinda pale subir mechi ya barcelona uwe unakamia umeona lukaku anavyocheza na timu ndogo?
Asnte pia hongeraMissing you mo!!!
Lukaku alikuwa anawaburuza pale Mbele, mara nyingi kulikuwa na Beki wawili mpaka watatu bado anawatoka. Assist ya goli amewabuzura wawili na watatu alikuwa Mbele yake. Ile volley aliyoitoa kipa ilikuwa inaleta goli la video.
Kwa ujumla tunafuraha sana Leo.
Aje hata na spoon akikosa spadeUnakaribishwa kuja kufukua makaburi
Mie mzima kabisa kaka yangu,majukumu tu,leo nimesema potelea mbali!!Kama usingeonekana leo humu basi ningepitia penye simu yangu mzimamzima nikague umejificha wapi! Kwema lakini?