Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna muda maandazi unaweza kuwa wewe gemu nyepesi ya sevilla ambayo ina marudiano kwa nn uhatarishe wachezaj?

Mech inayofuata ya chelsea apigwe nyumbani? Ukipigwa top 4 ipo rehen unafikir gem plan ya leo kocha kakurupuka?

Uko serious? Punguza mahaba kwa Kocha ndugu. Hii timu INA wachezaji wenye kuweza kuifanya itishe isipokuwa ni mbinu tu mbovu za Mwalimu. Hivi ni kweli unaamini Man U waliidharau Sevilla?
 
Hakuna cha dharau wala nini, kocha gan anaweza dharau timu ya uefa kwenye HATUA kama hii sema kocha wetu hapo alkuwa full kabisa mbinu zote katoa, sidhan kama kuna mbinu kabakiza
 
Mkuu mi naona sababu ya gemu inayofuata ya chelsea ni ngumu sana na kocha kaamua kwenda na mfumo ule bek zote za maana kaweka bench kukwepa majeruh
Beki zipi za maana? Ukiondoa Baily aliyekuwa majeruhi ya muda mrefu kidogo kuna beki yeyote pale ambaye amepewa nafasi ya akaonyesha consistency hadi useme ni beki za maana? Ni beki yupi pale benchi yupo kwenye top form? Kuna muda huwa naona kama unataka kujadili mpira ila Mara nyingi huwa unaleta mapenzi zaidi. Mourinho atafute mbinu zingine za kuiendeleza timu,hizi za sasa hatutafika popote!
 
Hamna bek pale timu mbovu sna.
 
radika mimi siamini kama ile ilikuwa ni game plan eti kwa ajili ya kujipanga na mechi ya chelsea isipokuwa ndio style yetu tunayocheza kwa takribani mechi tano zilizopita na jaribu kurejea mechi ya tottenham, newcastle, huddersfield, burnley na hata mechi yetu ya FA tuliocheza tena na huddlesfield town. leo sevilla walipokuwa wanashambulia unakuta zaidi ya wachezaji 6 wanavamia eneo la adui lakini kwetu sisi ni lukaku peke yake ndiye anayesimama mbele ya eneo la adui.
  • mechi ya huddlesfield mpaka naondoka baada ya kuchoshwa na soka bovu half time tumepiga shoot target mbili au unataka kuniambia ya kwamba mechi ya huddlesfield tulicheza mpira ule kwa ajili ya kujiandaa zaidi na sevilla ili wachezaji wetu wasipate majeruhi?
  • eneo la ulinzi kiukweli tunajitahidi sana lakini kwenye ushambuliaji tunacheza ovyo na tatizo linaanzia kwenye kupanga mashambulizi wachezaji wetu hawasogei eneo la adui kwa ajili ya kumpa ushirikiano lukaku a.k.a mtu mzito, matokeo yake mipira mingi sana wanainasa timu pinzani.
  • na kwa style hii tunayocheza mechi nne zijazo tutamchoka alex sanchez kwa sababu haiwezekani sanchez akimbie na mipira lakini akifika kwenye eneo la adui anamkuta lukaku peke yake, akina matic, pogba, lingard, mata wote wanajificha nje ya box la adui kwa kuhofia eti adui ataunasa mpira na kupiga counter attack, hahahahaaaa adui wenyewe unayemuhofia ni newcastle united na sevilla ambayo midfield wake ni nzonzi ambaye aliuzwa na stoke city.
  • tatizo jengine nililoliona kwenye timu yetu ni kukosa kujiamini kwa wachezaji wetu, ndani ya dakika tisini chris smalling anarudisha mpira kwa kipa mara kumi, ndani ya dakika tisini ashley young atapiga pasi mbovu na long ball mbaya zaidi ya 10, ndani ya dakika 90 lingard atapoteza mpira na kufanya maamuzi mabovu mara 6,inashangaza sana kwa proffesional player kuwa na uoga uliopitiliza,inafika wakati unajisikia aibu hata kuangalia mechi zetu za marejeo, zaidi ya wachezaji sita wa kikosi cha kwanza ni wazito wa kufanya maamuzi wanapokuwa na mpira.ukimuangalia umtiti na smalling unahisi utofauti mkubwa sana wa kiuchezaji.
  • uwezekano wa kuifunga sevilla mechi ya marejeo ni asilimia 80 lakini uwezekano wa kubadili aina ya soka letu chini ya jose mourinho ni asilimia 10 tu.hata kama tutatumia pound millioni 300 kwenye dirisha la usajili chini ya jose mourinho soka letu halitabadilika, tafsiri yake ni kwamba tutakapocheza na man city, liverpool, chelsea, arsenal na totenham wakiwa nyumbani kwao tutaendelea kucheza mpira wa kujilinda zaidi.
  • kama mourinho anahitaji mafanikio anapaswa pia aache kusikiliza kelele za waingereza, huwezi kumkuta mchezaji kama lingard, ndani ya bayern munich na real madrid akicheza kikosi cha kwanza nafasi ya kiungo wa juu, hata kama lingard atafunga bao 40 kwa msimu lakini ukweli utabaki vile vile kuwa uwezo wake hauendani na brand ya manchester united na hata ashley young na rashford naye hivyo hivyo, munaweza kunipinga kwa rashford lakini tukumbuke hata walcott alikuwa maarufu sana alipokuwa na miaka 18 na waingereza waliamini atakuwa bora atakapofikisha miaka 23 lakini cha kushangaza kadri umri ulivyokuwa ukiongezeka kitu pekee kilichokuwa kikiongezeka kwa walcott ni sura nzuri na ndevu, yuko wapi danny welbeck ambaye alifananishwa na dwight yorke?, yuko wapi tom cleverley aliyekuwa akishindanishwa na fabregas? yuko wapi wilshere aliyewafundisha mpira midfield maestro xavi na andres iniesta? yuko wapi sturridge? kuwa na matumaini ya kwamba siku moja rashford atakuwa mfungaji hodari kuliko thiery henry ni ujinga zaidi ya kuamini ya kwamba siku moja jose mourinho atacheza mfumo wa total football akiwa uingereza.
    343116.jpg
david degea >= ederson
valencia == walker
ashley young +shaw == fabian delph + mendy
bailly >= kompany
smalling == stones
jones == otamendi
laporte == lindelof
matic == fernandinho
mata <= david silva
pogba <= kelvin debruyne maestro
martial >= sterling
rashford <= gabriel jesus
lukaku < aguero
lingard < leroy sane
sanchez > bernardo silva
herrera == gundogan
je tunakosea wapi
 
Mkuu acha kufananisha wachezaji na vitu vya ajabu ajabu
 
Mi mkuu sijakataa nafaham tunawachezaji wa kawaida sana hilo sijakataa hata kuna muda kocha anazingua nakubali ila sio kila muda tumpe madongo tu hata mm kuna muda sipend mchezo wa kujilinda tunapokutana na baadhi ya timu sio naunga mkono mwanzo mwisho hamna kocha asie chemka.
 
Mourinho hawezi kuwa sir alex mtu anakwambia tulizoea manchester ile ya ferguson ule ukurasa ulipita kila kocha na mbinu zake mourinho kabla hajakabiziwa alikuwa anafahamika ni mtu wa kuzuia sasa muda wote mtu analalamika tufanyaje? Pili kapewa mkataba mpya tujiulize ile bod ilikuwaje impe mkataba tena wakat tunacheza soka la hovyo?

Ernesto Valverde kamwe hawez kuwa pep

Ukilitambua hilo utaisapot timu yako kwa namna yoyote ile akifukuzwa poa akibak poa hakuna namna tutakosoa mbinu za kocha hadi lini?

Kwa nini van gal na moyes wamefukuzwa haraka?

Mourinho kuna nini wakat kila siku mtu analaum anacheza soka baya halafu anapewa mkataba?

Moyes na van gal walitishiwa hadi kukodiwa ndege ya kuwatimua mbona mourinho hamna hiyo kitu?
Tuwe wavumilivu timu iliyoachwa na kocha aliekaa miaka 26 anakuja kocha mpya toka nje ya mfumo tunataka soka safi hiyo kitu ngumu

Bora barcelona hawapotez identity yao kocha anafundisha aneijua timu sasa sisi vipi kwa hilo?
Itachukua muda kuamka lazima uwekezaj wa maana ufanyike ile mkiendelea kumponda kocha bila kuwaza ni nani alitoka na aliekuwepo mnapoteza muda.

Kusema ni ruksa ila kuponda kumezidi kaaa mtu anaponda hadi wachezaji wake hatar hii
Mara nyingi kama sio zote, sisi washabiki furaha yetu huwa ni kuona timu inacheza vizuri na kushinda vikombe. Na hata inapotokea Mara chache timu ikafungwa basi angalau tutiwe moyo na kiwango tulichokiona. Kuna ndugu humu aliwahi kukwambia kuongezewa mkataba haimaanishi huwezi kufukuzwa. Na suala hilo hilo LA mkataba mbona hata Wenger anaongezewa tu mkataba japo timu haishindi vikombe vya maana? Ukiangalia utagundua yeye anainufaisha bodi ya timu kwa kuiingizia arsenal mapato mengi hasa anapoiingizaga timu top 4 Mara nyingi. Je ni fahari kwa mashabiki Wa arsenal kutamba, kujinadi na kujivunia arsene Wenger pamoja na mafanikio hafifu ya timu yao ktk kuchukua vikombe? Mara ngapi washabiki Wa arsenal pale London tena wanaolipa viingilio vyao wanaandamana jamaa aondoke?
 
Back
Top Bottom