ni kweli ligi ya mabingwa ni ligi kubwa sana na unapaswa kuwa na tactics zenye kuleta mafanikio, lakini fahamu ya kwamba wakati sisi tunawaza kwenda kumaliza shughuli old trafford wenzetu manchester city, liverpool na hata tottenham hotspurs wameshamaliza shughuli ugenini. maisha yote ukweli ndio utakao tuweka huru ila inashangaza wapenzi wengi wa manchester united ukweli hatuupendi.
timu inacheza ovyo sana mpaka inafika wakati unajiuliza kama wachezaji wanafanya mazoezi
,ni aibu na fedheha wacha tu wapiga kelele (wapinzani uchwara) waendelee kutukejeli na kututukana ndani ya thread hii na nje ya JF.