Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lakin mkuu mbona msimu ule alikuwa na nolito,ihenacho,aguero,navas,strerling,kdb na silva mbona alikuwa anachezea tu za kutosha had kugombea top 4 kuna muda mpira huambatana na bahat tu kwa mfano madrid iliyobeba makombe msimu uliopita mdio hii inayopigania top 3

Pia hata wachezaj wetu hawapo makin haijalish unaenda na mfumo upi timu ngumu hushinda mazingira yoyote tu.
Wako wapi sahivi hao ihenacho ,Nolito , na Navas?
 
Hadi wewe united ulimfunga?
 
Wako wapi sahivi hao ihenacho ,Nolito , na Navas?
Na hii ni moja kati ya tofauti kubwa iliyopo saizi kati ya Manchester city na United. City mchezaji aki flop anaondolewa lakini United mchezaji akiflop ana badilishiwa namba (young, Valencia) huku wengine wakiendelea kung'ang'aniwa na kutuaminisha ipo siku watakuja kuwa vzr, jones, smalling, blind, darmian, Lingard just to mention a few.
 
Mwambieni jamaa yenu aondoe hiyo mizigo hapo otherwise kila siku mtaishia kulalamika
 
Rudi nyumbani pia umeadimika sana mkuu kule wewe ni wamuhimu ndugu malafyale anaipenda timu na hataki mawazo tofauti na anachokiamini ila ije masika kije kiangazi yuko na timu mkubwa mosdef kama kawaida hekima zake zinasomeka,hii ni taarifa fupi ya nyumbani.Twendeni tukapanogeshe.
Worried out mkuu nimesharudi kwetu
 
Na hii ni moja kati ya tofauti kubwa iliyopo saizi kati ya Manchester city na United. City mchezaji aki flop anaondolewa lakini United mchezaji akiflop ana badilishiwa namba (young, Valencia) huku wengine wakiendelea kung'ang'aniwa na kutuaminisha ipo siku watakuja kuwa vzr, jones, smalling, blind, darmian, Lingard just to mention a few.
young&Valencia,Jones smalling, lingard
hakuna timu katika top 6 wanapata no first eleven kocha anaejielewa hawez kuendelea kuwaamini hao players
 
Na hii ni moja kati ya tofauti kubwa iliyopo saizi kati ya Manchester city na United. City mchezaji aki flop anaondolewa lakini United mchezaji akiflop ana badilishiwa namba (young, Valencia) huku wengine wakiendelea kung'ang'aniwa na kutuaminisha ipo siku watakuja kuwa vzr, jones, smalling, blind, darmian, Lingard just to mention a few.
Umeongea point kubwa sana mkuu,timu sijui ina tatzo gan.michezaj inaonekana kabsa haipo vzur lakin haiuzwi kwa wakati kama wanavyofanya wenzetu
 
Lakin mkuu mbona msimu ule alikuwa na nolito,ihenacho,aguero,navas,strerling,kdb na silva mbona alikuwa anachezea tu za kutosha had kugombea top 4 kuna muda mpira huambatana na bahat tu kwa mfano madrid iliyobeba makombe msimu uliopita mdio hii inayopigania top 3

Pia hata wachezaj wetu hawapo makin haijalish unaenda na mfumo upi timu ngumu hushinda mazingira yoyote tu.
Kipindi Hicho man city anapigania top four Manchester united alikuwa anapigania Nafasi ipi?
 
Na hii ni moja kati ya tofauti kubwa iliyopo saizi kati ya Manchester city na United. City mchezaji aki flop anaondolewa lakini United mchezaji akiflop ana badilishiwa namba (young, Valencia) huku wengine wakiendelea kung'ang'aniwa na kutuaminisha ipo siku watakuja kuwa vzr, jones, smalling, blind, darmian, Lingard just to mention a few.
Sterling aliflop Leo ?????

Hivi unaelewa Kuwa Fabian Delph ambaye kwa sasa ni beki Wa kushoto Wa man city alikuwa ni kiungo hatari sana ????

Unataka kusema Valencia hana kiwango cha kucheza namba mbili???

Haya nakubaliana na wewe Ashley Young ni mbovu, ni mechi ngapi Mourinho anampiga benchi beki asilia Wa kushoto ( Luke shaw)

Nakubaliana na wewe Smalling ni mbovu ila ni mechi ngapi Marcos Rojo anapigwa benchi akiwa mzima kabisa???

Mpaka hapo tatizo ni Mwalimu sio wachezaji.
 
Lakin mkuu mbona msimu ule alikuwa na nolito,ihenacho,aguero,navas,strerling,kdb na silva mbona alikuwa anachezea tu za kutosha had kugombea top 4 kuna muda mpira huambatana na bahat tu kwa mfano madrid iliyobeba makombe msimu uliopita mdio hii inayopigania top 3

Pia hata wachezaj wetu hawapo makin haijalish unaenda na mfumo upi timu ngumu hushinda mazingira yoyote tu.
Hyo siyo sababu kubwa sana kwa sababu wote wamefanya addition za kutosha tena kwa kiasi kikubwa walizipata targeted signings zao. Ila angalia City ilivyobadilika ndugu wakati sisi tunacheza mpira mbovu sana. Haijalishi Mou aondoke au asiondoke kikubwa ni timu ibadilike kiuchezaji,tusiendelee kucheza karibia kila game kwa kuviziavizia
 
Kweli kabisa mkuu
 
Sterling aliflop Leo ?????

Hivi unaelewa Kuwa Fabian Delph ambaye kwa sasa ni beki Wa kushoto Wa man city alikuwa ni kiungo hatari sana ????

Unataka kusema Valencia hana kiwango cha kucheza namba mbili???

Haya nakubaliana na wewe Ashley Young ni mbovu, ni mechi ngapi Mourinho anampiga benchi beki asilia Wa kushoto ( Luke shaw)

Nakubaliana na wewe Smalling ni mbovu ila ni mechi ngapi Marcos Rojo anapigwa benchi akiwa mzima kabisa???

Mpaka hapo tatizo ni Mwalimu sio wachezaji.
Fabian delph hakuflop kwenye midfield role kama ilivyo kwa Valencia, Valencia na young walinunuliwa kuwa wabadala wa Giggs na Ronaldo kama ma winger, lakini HAKUNA aliye fanikiwa kwenye hiyo nafasi, Valencia alianza kuchezeshwa kama full back baada ya akina Darmian, blind kushindwa ku cover vema hiyo nafasi.

Luke shaw nae hana consistency ya kiwango chake, kuna mechi anakua vizuri na kuna mechi anakua hovyo, hadi sasa ni msimu wake wa nne na kacheza mechi takribani 60, wastani wa mechi 14 kama sio 16 kwa msimu labda tujiulize hizo mechi zingine (league + FA cup + uefa/europa na carabao cup) pindi ye akiwa majeruhi au out of form nani ana cover? Je tuna natural left back mwingine ukiachana na shaw?

Smalling na Jones wana miaka zaidi ya saba pale Manchester lakini ni wachezaji ambao hata west brome nina wasiwasi kama wanaweza kupata namba. Je miaka yote hiyo ni mourinho alikua ana wakumbatia? Sikatai mourinho ana makosa yake mengi tu lakini embu tujaribu kuangalia behind the scene, tatizo la Manchester ni zaidi ya mourinho. Ni wachache wanaoweza kunielewa na maanisha nini, tatizo letu mashabiki huwa tunaangalia kile kinachotokea uwanjani tu, tuifunge watford, arsenal na chelsea ili tushangilie then tusahau, lakini kama kweli tunataka tushindane na the so called giants kama Barcelona, madrid, man city (lol) , bayern na hata PSG basi kuna takiwa kuwe na mabadiliko makubwa sana si uwanjani tu hadi nje ya uwanja.
 
Klabu ya soka ya Manchester United wamerudi nchini Uingereza wakionekana hawana furaha sana baada ya kutoka sare na Sevilla katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Ramón Sánchez Pizjuán, usiku wa jana (Jumatano) kwenye kombe la klabu bingwa barani Ulaya maarufu kama Uefa.
leo ngoja nikuulize, wewe huwa ni mwadizi wa hbr? i.e carrier yako ni uandishi?

maana maandishi yako huwa ni ya mulengo huo.

.....hongera.....
 
None of Romelu Lukaku's 12 Premier League goals this season have come against teams currently in the top eight.

In games vs top eight sides, he's played 900 minutes and attempted 17 shots without scoring.
 
Screenshot_20180223-212231.png

Paul Pogba does not deserve to be indulged at Manchester United - he isn't good enough yet
 
Hyo siyo sababu kubwa sana kwa sababu wote wamefanya addition za kutosha tena kwa kiasi kikubwa walizipata targeted signings zao. Ila angalia City ilivyobadilika ndugu wakati sisi tunacheza mpira mbovu sana. Haijalishi Mou aondoke au asiondoke kikubwa ni timu ibadilike kiuchezaji,tusiendelee kucheza karibia kila game kwa kuviziavizia
Fact.
 
None of Romelu Lukaku's 12 Premier League goals this season have come against teams currently in the top eight.

In games vs top eight sides, he's played 900 minutes and attempted 17 shots without scoring.

Bado upande wa ushambuliz ni tatizo hata kama kocha anapak bus inatakiwa mshambuliz awe kama willian alivyocheza gem ya barca
 
None of Romelu Lukaku's 12 Premier League goals this season have come against teams currently in the top eight.

In games vs top eight sides, he's played 900 minutes and attempted 17 shots without scoring.
Love these obsessions smaller, trophy dodging clubs like Liverpool have with united when we are not even playing.
 
Back
Top Bottom