triga
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,029
- 5,712
Nimetizama press kadhaa kadhaa za kocha wetu mou jana nikijaribu kuangalia kama ana lolote jipya kuhusu performance ya tim recently nimegundua vitu kadhaaa ila cha muhimu ni kwamba mou ni kama anajua anachokifanya hebu tusubiri tuone.
Kuna moja hivi anaulizwa kuhusiana na relation yake na position ya pogba anajibu kwa kudai pundits wengi wanaongopa akalirudisha swali kwa mwandishi akiuliza game dhidi ya newcastle alimchezesha pogba nafasi gani wakaanza kumshangaa, mmoja akaropoka 'midfield' akauliza je tulicheza na sita wawili na nane mmoja au tulicheza na nane wawili na sita mmoja au sita mmoja nane mmoja na kumi wawili? Alafu akauliza ni nafasi gani hasa nzuri zaidi kumchezesha paul? Akajijibu mwenyewe akasema game ya newcastle alichezesha sita mmoja (matic) na nane wawili pogba akicheza upande wa kushoto ambayo ndio nafasi yake sahihi alaf akasema ni fair kusema pogba hafanyi vizuri ss hv ila sio kwenda kwenye ooh hafurahii position anayochezeshwa ooh ana ugomvi na mou na vitu kama hivyo.
Nyingine anaulizwa khs alexis kama ni kheri acheze kwa kufuata details za kocha zaidi au awe freel tu, akasema akikutana na bekhs au scholes au keane atawauliza kipindi hiko wanacheza man utd je walikiwa wakipoteza mpira wanasimama katikati au wanarudi kukaba? Kwenye timu yake jambo ni moja tu na simple 'tukiwa na mpira tunashambulia hatuna mpira tunakaba baaasi'