Wao wamefunga ngapi mpaka sasa?Dk ya 82 wenzetu wana shots 23 sisi tuna shots 4 tu!!!
Wao wana shots 8 on target sisi tu shot moja Tu!!
Kushinda UEFA kwa form hii ni ndoto..
Toka sevilla akusambaratishe chuma 3 fainali umeanza kuishi kwa wasiwasi tu acha tumnyuke wanaume uone
Watakao itia najisi EPL wanacheza kesho!
Man U hii haiwezi pata hata sare ugenini kwa Seville!
Kesho mnafungwa watani
Omba usikutane na mourinho kwenye mtoano hiyo ngoma fainali bwana mdogoMan u safari imefika
nani Manure??Manure poleni
Point mkuumimi sioni umuhimu wa lukaku mbele ni wakati wa kumpa nafasi rashford
Gemu inayofuata ni ya chelsea muhimu kupumzikamorinho kabet,yaan anamtoa sanchez
Kocha wako wenger ana makombe mangap na hizo takwimudaaaaaaahhhhh huu ni mzurulo![]()
Ugirik asingebeba uero mwaka 2004Tumecheza pira bovu sana.
In short bora tuishie hapa tu huko mbele kwa form hii tutaenda kupata aibu
Kafanyaje sasa?Pendelea Kueka Hakiba Ya Maneno
Kalala mbele mbabe wake huyo sevillaTunaomba mrejesho kwa heshima yako mkuu
Heee chupuchupu wakat unaona tulivyowadharau katkat tumetia kiungo mtoto scott kocha wangu kwenye mtoano sio wa mchezo.Ndugu yangu umeponea chupuchupu half ya kwanza dah
Wenye shorts on target nyingi wana goli ngap mkuu?Hii timu ni mbovu, mijitu inatoka mijasho muda wote then shot on target 2.... hovyo kabisa.
Hiyo ni sababu ndogo sana tote alikuwa ugenini tena kwa juve ka score na akapiga mpira mwingi sana pale turin liver ugenini kwa porto ka score... Sasa level ya juve na sevilla huwez fananisha hata kidogo juve is the best lakin alilazimishwa kuchomolewa goli 2.... Kiukweli timu yetu tukubali inamapungufu saana tu hasa katika mbinu hakuna ubunifu kabisa...tulieni wadau kumbukeni this is champions league na tupo ugenini