Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
tanesco wamechukua umeme wao
Yaani kama tunaangalia ndondo cupNyie mnaona sevilla wanaupiiiiiiga wakati mie nawaona wazururaji tu
tuko ugenini 0-0 unasema safari imefika??kibwenzi mkubwa wee!(ole wako useme nimekutukana)Man u safari imefika
mkuu upi wapi maana hata mi niliko tanesco wanafanya yaotanesco wamechukua umeme wao
arusha,usharudi!!huko jee?mkuu upi wapi maana hata mi niliko tanesco wanafanya yao
kama kawa mkuu wamerudishaarusha,usharudi!!huko jee?
pamoja sana mkuukama kawa mkuu wamerudisha
Labda kampumzisha kwa ajili ya mechi ya Chelsea.morinho kabet,yaan anamtoa sanchez