Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Ndugu yangu umeponea chupuchupu half ya kwanza dahLeo tunashinda vizur tu ila mkuu usisahau nafasi uliyopo nae mtibwa sugar yupo hiyo nafasi.
Ndio umeamka auNlishawai sema valencia hafai kuwa captain.kwanza hana ile kupanga wenzake wala haongei kabsa fala sana uyu bwege
Mkuu hili swali tumuulize JM kwakwelii mm sielewi JM anafundisha mfumo gan na kwa teknik zipi mpaka hawa sevilla wanatupeleka kipumbavu hiviAnalaumiwa Valencia.Ander alikuwa anamsaidia sana kukaba upande wa kulia,.Pogba Kaingia kamfata sanchez kushoto. mata yupo nyuma ya lukaku ni sawa.nani anamsaidia valencia?
Na wewe huoni unazurala kwenye jukwaa letu?Pogba anazurula tu uwanjan