Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Itakuwa ni vizuri zaidi kama ikitokea tutatoka sare, iwe sare ya magoli (1-1, 2-2, 3-3)

Sare ya 0 - 0 ina changamoto sana, kwani Sevilla wakifunga goli 1 ndani ya Old Traford itabidi Utd tushinde hiyo mechi au tutoke sare ya 1-1, twende extra time / penalty shootout

Ila itakuwa ni vizuri zaidi kama tutaweza kushinda mechi hii ya leo
Hali tete
 
Hiyo ni sababu ndogo sana tote alikuwa ugenini tena kwa juve ka score na akapiga mpira mwingi sana pale turin liver ugenini kwa porto ka score... Sasa level ya juve na sevilla huwez fananisha hata kidogo juve is the best lakin alilazimishwa kuchomolewa goli 2.... Kiukweli timu yetu tukubali inamapungufu saana tu hasa katika mbinu hakuna ubunifu kabisa...
Mkuu mi naona sababu ya gemu inayofuata ya chelsea ni ngumu sana na kocha kaamua kwenda na mfumo ule bek zote za maana kaweka bench kukwepa majeruh
 
Hiyo ni sababu ndogo sana tote alikuwa ugenini tena kwa juve ka score na akapiga mpira mwingi sana pale turin liver ugenini kwa porto ka score... Sasa level ya juve na sevilla huwez fananisha hata kidogo juve is the best lakin alilazimishwa kuchomolewa goli 2.... Kiukweli timu yetu tukubali inamapungufu saana tu hasa katika mbinu hakuna ubunifu kabisa...
hoja yangu inabaki palepale ile ni ligi kubwa na inataka tactics na hesabu kubwa!l!!ngoja tukamalizie shughuli old trafford
 
Sometime tuache ushabiki maandazi.
Man u cyo ile tunayoijua.kila mechi poor peformance timu haina morali kabsa kipa mechi nying ndo anakua man of the match kuna tatizo
Kuna muda maandazi unaweza kuwa wewe gemu nyepesi ya sevilla ambayo ina marudiano kwa nn uhatarishe wachezaj?

Mech inayofuata ya chelsea apigwe nyumbani? Ukipigwa top 4 ipo rehen unafikir gem plan ya leo kocha kakurupuka?

Itakuwa ni vizuri zaidi kama ikitokea tutatoka sare, iwe sare ya magoli (1-1, 2-2, 3-3)

Sare ya 0 - 0 ina changamoto sana, kwani Sevilla wakifunga goli 1 ndani ya Old Traford itabidi Utd tushinde hiyo mechi au tutoke sare ya 1-1, twende extra time / penalty shootout

Ila itakuwa ni vizuri zaidi kama tutaweza kushinda mechi hii ya leo
Mkuu draw yoyote ya magoli tunatolewa ss pale home ni ushind tu au draw ya 0 0 ndo tunaenda 120
 
siku hizi watu waoga sana,zamani mchezaji tegemeo uko uwanjani anakuja mama yako anakutuma dukani gemu inaendelea timu yako ikiwa pungufu mpaka unarudi toka dukani unandelea na namba yako,siku hizi mchezaji akichechemea tu unatolewa fast hata kuuguzwa hakuna
We jamaa Mungu anakuona umenikumbusha mbali sana aise daaah.
 
Wakuu gem plan imefanya kazi nusu Sisi tuna gem ngumu ya chelsea kwa nn tusicheza kwa tahadhar? Tushampoteza herrera. Halafu sevilla wanakuja nyumban mtaono unahitaj akili tu
 
Itakuwa UEFA umeanza kuifuatilia msimu huu yaani draw ya magoli sevilla akitoa OT mnaenda matuta?.
Nani kakudanganya?

Alfu unaandika kabisa bila aibu Duh!
Bora ungeficha ujinga wako mkuu

Mkuu sidhani kama unatumia lugha sahihi ukiwa unachangia hoja zako hapa

Nilikosea kusema wakitoka sare ya magoli ndani ya Old Traford ila huna sababu ya kutumia neno (ujinga)

Ohh UEFA nimeifuatilia muda mrefu sana, ondoa shaka

GGMU
 
hoja yangu inabaki palepale ile ni ligi kubwa na inataka tactics na hesabu kubwa!l!!ngoja tukamalizie shughuli old trafford
ni kweli ligi ya mabingwa ni ligi kubwa sana na unapaswa kuwa na tactics zenye kuleta mafanikio, lakini fahamu ya kwamba wakati sisi tunawaza kwenda kumaliza shughuli old trafford wenzetu manchester city, liverpool na hata tottenham hotspurs wameshamaliza shughuli ugenini. maisha yote ukweli ndio utakao tuweka huru ila inashangaza wapenzi wengi wa manchester united ukweli hatuupendi.
timu inacheza ovyo sana mpaka inafika wakati unajiuliza kama wachezaji wanafanya mazoezi
,ni aibu na fedheha wacha tu wapiga kelele (wapinzani uchwara) waendelee kutukejeli na kututukana ndani ya thread hii na nje ya JF.
Manchester-United-star-Ashley-Young-658606.jpg
 
Back
Top Bottom