herrera
Senior Member
- Jul 30, 2017
- 108
- 260
Tukishindwa kupata matokeo kwa sevilla hii itakua ni disappointment moja kubwa sana, they are totally shitLeo tunashinda vizur tu ila mkuu usisahau nafasi uliyopo nae mtibwa sugar yupo hiyo nafasi.
Tukishindwa kupata matokeo kwa sevilla hii itakua ni disappointment moja kubwa sana, they are totally shitLeo tunashinda vizur tu ila mkuu usisahau nafasi uliyopo nae mtibwa sugar yupo hiyo nafasi.
Toka juzi kule niliandika wasiwe na wasi wasi sababu Barca HANA team ya kumfunga Chelsea Darajani
Pia nakuambia hapa huwezi mfunga Seville kwake
KafanyajePaul Pogba dancer
Watakao itia najisi EPL wanacheza kesho!
Man U hii haiwezi pata hata sare ugenini kwa Seville!
Kesho mnafungwa watani,team mliyo mpa Sanchez ikawa yake masaa tu baada ya kufika haiwezi mfunga Seville
ombi lako limekubaliwaKwa mtu yyte ambae alishawahi kucheza hata mpira wa makaratasi anatambua kuwa kuna siku unaamkia kushoto tu, haijalishi unacheza namba ipi.
Pogba asilalamike sana...kuna mtu anaitwa Hererra mbna hana kelele lakin anakula bench atari.
Natamani jtano mou acheze na midfield watatu
juma 5 ndio leo na mfumo umetoka 4-3-3 again na hakuna lingard. umeamini sasa?hakuhitajika na mfumo ulibadilika sabubu atatumika kwenye mfumo wa juma5
Mkuu kuangalia mechi yote unaitaji uwe na mb ngap nsaidie hapoKwema Humu? Wacha Nikaongeze Bando nipate Nistream Kwa amani!
Una stress sana, pole mkuu!!Watakao itia najisi EPL wanacheza kesho!
Man U hii haiwezi pata hata sare ugenini kwa Seville!
Kesho mnafungwa watani,team mliyo mpa Sanchez ikawa yake masaa tu baada ya kufika haiwezi mfunga Seville
Mkuu ulitaka Martial wako apangwe ndio umpende Mou. Kwa taarifa yako hiki ndio kikosi bora kabisa kwa sasa. Young huwa anakamata vizuri sana hapo kushoto na ana uwezo mkubwa wa kupanda na kudondosha krosi za maana sana sio Shaw uzoefu zero. Baadae Baily ataingia mambo yatakuwa murua sana.Pamoja na utumbo wa wazi kwenye hii starting xi hasa kwenye defence,acha tumuamini Mourinho.Tutashinda
Mkuu kuangalia mechi yote unaitaji uwe na mb ngap nsaidie hapo