Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

27655123_2167192973297799_7673165749636950887_n(1).jpg
 
Kusema ukweli JM sijui anang'ang'ania nini na smalling + young * martial. Martial bado hajakua anazingua sana, kwanini young aanze wakati Shaw anapiga mpira mzuri sana na ndo natural left back?. Pacha ya smalling na jones haina nguvu kabisa smalling anakaba kama anacheza chandimu lakini JM ndo utamwambia nini akuelewe.

Mfumo wa JM mbovu sana, Lukaku anahangaika mipira haifiki ipasavyo, alafu kuna raia wanamlaumu striker kama Lukaku kweli? .Ninachoona JM anaonesha kiburi tu anajua kama fans wote wanataka Pogba acheze as free prayer tuone ukali wake ila yeye sasa anavyodefend maana ya box to box anajua mwenyewe, akiendelea hivi kiwango cha Pogba kitashuka sana yani anamlazimisha kufanya majukumu yanayomzidi kimo mfano angalia tukicheza na watabe au viungo mahiri. Leo Shev anakamata kiungo kama vile yupo mazoezi vile.

JM ana stress sana hata maamuzi yake ya ghafla ghafla anaweza akakaza kufanya sub tukipigwa goli anaita mchezaji wowote yule lazima joto la jiwe tulisome kama asipobadilika.

Tunasapoti timu katika kila khali lakini ukweli usemwe kuna watu wanatuangusha either direct or indirect:
1. JM
2. JM
3. JM
4. Smalling
5. Young
6 Martial kazidi utoto
Weka mata tucheze mpira Lingard anaruka ruka tu uwanjani kuna game anapotezwa kabisa.SIKU MBAYA SANA LEO, ANGALAU MNYAMA KAUNGURUMA TAIFA.

GGMU
Mkuu,,
Kakipigo kameumiza sana haka,,

Mara mia mbili nifungwe na Kun, Kane, Messi, Neymar, Isco ila sio kna nani sjui...

Wengne tupo mbali na TV...

Ila basing on mitandao na outcome,,

Namba 1,2,3 hapo juu ndio mchawi mkubwa kwa timu...

Namheshimu Josee 'Special One' kama mwanadamu mwenye uthubutu,,
Nayaheshimu pia mafanikio yake,, ni kocha bora na wa kipekee sana

Ila,,, Zama zmempita,, bahati mbaya sana ypo ligi moja na Pep,,
Hata mzee Carlo kachemka Munchen si kwamba ni mmbaya ila ndio hivo mambo hayakwenda kama yalivotarajiwa,..

Ni aibu na fedheha kwa kocha kununua wachezaji kibao then wakushinde kuwatumia... Mkhi,, Double P wa juve ndie ambae tnamtaka,,, yle hata hyu mchawi mpya wa ligi angeonekqna cha mtoto,, Victor Linderleof,, plus the beast Lukaku..
Ingekua kwetu tungesema viongozi ndio wamewaleta hayakua mapendekezo ya Mwl.

Ni aibu Mata kuozea benchi,,
Ni aibu Herrera kukosa namba Man Utd kwa mpira wa sasa ulimwenguni..

Inaonekana hata Alexis ndoto za mataji ztampita mbali kwa mwendo huu..
Misimu miwili no First Eleven???

16 pts gape bado tunasema amebadili mambo mengi?? Na tmu ina ushindani??
Lets assume Spurs,, Liver,, Chel, na Asenal wangekua katika best form.. Tungekuwa wap kwa sasa??

NB: Wakuu Namheshimu sana JM kama mwanadamu mpambanaji asieogopa changamoto,,,
Nayaheshimu sana mafanikio yake..
Simaanishi ni kocha mbaya
Ila huenda hana bahati Manchester United
Moja ya kazi za ndoto yake...

[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
 
Ndugu zanguni haina maana ya kuanza kugombana,soka ni kujipanga na nina imani mwakani mtajipanga zaidi!
Team yenu haina quality ya kucheza CL mwakani kwa hiyo mtarudi tu kwenye Yuropa!
Week ijayo ndiyo rasmi mnatoka kwenye nafasi mkicheza na Chelsea na MAJOGOO yakiwa nyumbani na Newcastle
Nani sasa hayaogopi MAJOGOO?
 
Mkuu@makatheboy,upo sahihi kabisa mou ameshaishindwa timu maana anaenda msimu wa pili bila Kombe la ligi kuu na wachezaji kibao kasajili tena kwa hela nyingi,mou ni kocha mzr sana ila zama zake zaelekea ukingoni maana huwa anakaa msimu wa kwanza bila kombe ila msmu wa pili lazma achukue kombe,lakn kwa lugha nyepesi tunasema amechemka
 
Ndugu yangu akili yako ipo sawa wewe pogba kachukua best young player wa ulaya nzima wewe unatuambia bundesliga?

halafu unajiita shabik bumunda daa inabid nikuache mwaka 2013 kaingia first 11 best player wa ulaya huyo hakuwepo? kayafanya hayo akiwa na miaka 22 had 23 hadi hapo kwa heli
Mpuuze huyo,anakupotezea muda bure, jibizana na akina Liverpool ambao ndiyo level zetu achana na hawa nguchiro.
 
Mkuu@makatheboy,upo sahihi kabisa mou ameshaishindwa timu maana anaenda msimu wa pili bila Kombe la ligi kuu na wachezaji kibao kasajili tena kwa hela nyingi,mou ni kocha mzr sana ila zama zake zaelekea ukingoni maana huwa anakaa msimu wa kwanza bila kombe ila msmu wa pili lazma achukue kombe,lakn kwa lugha nyepesi tunasema amechemka
Hakika Mkuu Teamanaconda JM n World Class Coach,..
Hilo halina mjadala ila asidhani kila mchezaji ana uwezo wa kina;
Makelele, Essien, Drogba, Pizzaro, Alex, Lampard
Chivu, Samuel Water, Cambiasso, Zanet, Lucio, Milto nw

Zama za kigumu zmepita,, Conte nae anapumlia mashine na mbinu zao za kujihami...

Kama hatabadilika hta akiwaleta kina Griez,, Dyabala nw bado hatutaenda kokote..

Rooney wiki iliopita kasema wazi,, City wapo mile na wanacheza vizuri hawakamatiki si tu msimu huu bali hata ujao..

Tayari wana Ikay,, Fernandinho na Fred

Otamend, Walker, Stones, Mendy, Aymeric pia

Kazi ya ziada inatakiwa...

Tunamtetea sana JM na tunapaswa pia kumuunga mkono kama mwanafamilia wa Manchester United...

Ila anakosea sana,, anaua mpira wa Pogba,,
Kamaliza uwezo wa Ander kwa mbinu za kujihami
Matic kachoka kwa kukaba peke ake kila siku
Lukaku kaonekana alkua bora na tishio akiwa Everton..

Bado utasema umefaulu???

Two seasons mwelekeo wa timu ni up and down..
Mfumo wa kujihami kila sku hatutafika popote zaidi tutakuwepo top 4 kwa juhudi sana..
 
Ndugu zanguni haina maana ya kuanza kugombana,soka ni kujipanga na nina imani mwakani mtajipanga zaidi!
Team yenu haina quality ya kucheza CL mwakani kwa hiyo mtarudi tu kwenye Yuropa!
Week ijayo ndiyo rasmi mnatoka kwenye nafasi mkicheza na Chelsea na MAJOGOO yakiwa nyumbani na Newcastle
Nani sasa hayaogopi MAJOGOO?

Unaongea baada ya kuifunga academy yenu hilo gali la mkaa mnashinda mech moja mbili kichapo
 
Hakika Mkuu Teamanaconda JM n World Class Coach,..
Hilo halina mjadala ila asidhani kila mchezaji ana uwezo wa kina;
Makelele, Essien, Drogba, Pizzaro, Alex, Lampard
Chivu, Samuel Water, Cambiasso, Zanet, Lucio, Milto nw

Zama za kigumu zmepita,, Conte nae anapumlia mashine na mbinu zao za kujihami...

Kama hatabadilika hta akiwaleta kina Griez,, Dyabala nw bado hatutaenda kokote..

Rooney wiki iliopita kasema wazi,, City wapo mile na wanacheza vizuri hawakamatiki si tu msimu huu bali hata ujao..

Tayari wana Ikay,, Fernandinho na Fred

Otamend, Walker, Stones, Mendy, Aymeric pia

Kazi ya ziada inatakiwa...

Tunamtetea sana JM na tunapaswa pia kumuunga mkono kama mwanafamilia wa Manchester United...

Ila anakosea sana,, anaua mpira wa Pogba,,
Kamaliza uwezo wa Ander kwa mbinu za kujihami
Matic kachoka kwa kukaba peke ake kila siku
Lukaku kaonekana alkua bora na tishio akiwa Everton..

Bado utasema umefaulu???

Two seasons mwelekeo wa timu ni up and down..
Mfumo wa kujihami kila sku hatutafika popote zaidi tutakuwepo top 4 kwa juhudi sana..
Ndio maisha yenu munabid mzoeee
 
Mourinho hafai pale Manchester united mbinu zake ni za kuharibu wachezaji...

Game dhidi ya Huddersfield aliweka two holding midfielders( Matic na Tom).. Kuna mtu nilimueleza kama unajihami namna hii kwa kitimu kama hiki hizi ni dalili huyu kocha ni jipu. Game ya Jana the same ( Pogba Vs Matic ) dhidi ya Newcastle, hii ni aibu kwa team kama Manchester united kujihami kwa kiasi hiki.

Niseme Kitu sote ni mashabiki wa Manchester united na tunaipenda sana ila kwenye ukweli tuseme , kocha Wetu hana uwezo.
 
dogo ukiona live na kwenye picha ni vitu viwili tofaut ndo mana hakuna aliezungumzia huo mpira ulikuwa mgumu sana kama angepiga asingefunga ilikuwa lazima atulize na kupiga chenga alijikunja sana aliekosa goli la wazi ni martial

waangalie vizuri wasilete ushabiki
 
500 k ambazo zinatengezwa na club tajir kama pesa ipo kwa nn asipewe labda mawazo ya kimasikini ayo

Kwa ushauri tu Mourinho Asolve internal issue iliyopo Kwa Paul Pogba Kabla haijawa too late.

Siku Zote Rumors huwa zina kaukweli Fulani Ndani Yake! Media Mara kazaa zinariport kuwa Jamaa kafanya Jealous na £500K za Sanchizi Wakati alijiaminisha Kuwa Yeye atabakia Kuwa ni Main Man na Most Paid Kwa Muda wote atakao kaa Man U.. Lakini leo atokee Alexis from Nowhere awe Juu Yake!!!!..

Wakati Pesa zipo kama ulivyoclaim basi Mpeni £600K yeye ili asicheze chini ya Kiwango.
 
Back
Top Bottom