HAMNA JIPYA NYINYI MMESHAFILISIKA MBINU ..KITU AMBACHO MSICHOTAKA KUKIKUBALI NIKUWA MAKOCHA WENU WOTE AMBAO WAMEKUWA WAKIIFNDISHA TEAM YENU TANGU KUONDOKA KWA FERGIE NIMAKOCHA AMBAO TAYARI WAMESHAANZA KUTENGWA NA WAKATI HUU WA SOKA LA KISASA
MBINU ZINAZO TUMIKA SASA NI MBINU BORA MNOO .NAHILO LINACHAGIZWA NA UJIO WA GENERATION YA MAKOCHA WAPYA WANAOTIKISA KWA SASA ...KAMA PORCHETINO.GUARDIOLA DIEGO SIMION ZIDANE NA KINA CONTE ..
hahah wakina jonjo washafanya yao sio watu wazur hata kidogoMkuu umeona!!! Pole sana
Pole sana kijanashukrani mkuu
Pole sana kijana
Mkuu wamekufa ka 1 tu. KataaaamuLeo mnakufa mbili
Hahhahhaahah naona akili zinaanza kurudiSiku tumepigwa na spurs martial alitokea kulia na leo kampanga vilevile ! Mata akiingia ana perfemo vizuri pia kamueka bench ! Lingard na smalling na young bado anawanang'ania mou ****....sana...
Mkuu kwenye orodha ya makocha hao mtoe conte na simion hawana jipya hapo ni pep,zidane, porchetino na klopp mpira wao ni mzur sana.
Kama ulivyosema mkuu. Kwa jirani zetu hali si shwari.Mkuu Utanisamehe lakini "KILA LA HERI NEWCASTLE" natumai Benitez atakupa huzuni.
Acha ujinga wa kijinga na wewe. Man U kapiga mpira mkubwa sana. Sio ule wa Wenger jana kakimbizwa mwanzo mwisho. Uwe unajitahidi kuangalia hata statistics baada ya mchezo.Walimsifia dembele jana nafikiri leo waje kumpa sifa na huyu mtu aliyefunika mchezaji ghali wa paun 90m hahahaha jamani tuweni siriaz kidogo hivi kama pogba ana thamani ya euro 100m hivi huyu jonjo shervey si atavunja rekodi ya neymer!!!!!!!!!!
Mkuu usiseme hivyo..Ukweli halisi ni kuwa Mou hajawahi kushinda katika uwanja wa St. James Park toka amezaliwa.Mourinho hata awe na timu nzuri kiasi gani tangu akiwa chelsea akikutana na Newcastle ushindi lazima uwe mgumu kwake
Na wewe ni wa wapi? Unakurupuka tu.Sanchez hajashinda mechi ya ligi toka mwaka jana hahahahhahahaha
asante ..simion ufndi wake ni waubabe ..ila bado hajapewa team yenye kutoa budget kubwa..so acha nimpe nafasi kidogoMkuu kwenye orodha ya makocha hao mtoe conte na simion hawana jipya hapo ni pep,zidane, porchetino na klopp mpira wao ni mzur sana.
Mkuu umeangalia mechi ya leo? Ukimlaumu Lukaku nitakushangaa sana. Angalia kagusa mipira mingapi na katoa pasi ngapi, halafu linganisha na huyo takataka Martial wenu anaesimama tu kusubiria wenzake wapambane wampelekee mipira.Lukaku ameshindwa kuwa agressive kabisa, hana control nzuri pia hakai kwenye nafasi yake.
Jingine mouh aanze kuchezesha viungo watatu ili Pogba akacheze juu. Na suala la Jesse ni muda wa kumpisha Mata sasa.
Smalling ovyo hana confidence na hana defensive skills za mipira ya juu.
Siku tumepigwa na spurs martial alitokea kulia na leo kampanga vilevile ! Mata akiingia ana perfemo vizuri pia kamueka bench ! Lingard na smalling na young bado anawanang'ania mou ****....sana...
Hahhahhaahah naona akili zinaanza kurudi
Mashabiki wa msimu bhana..kwa hiyo alipopewa hiyo tuzo ukaona kweli alikuwa anastahili. Usiwe mvivu nenda kwenye statistics za leo uangalie huyo mchezaji wako aliyecheza 90min na Mata aliyecheza 30min ni nani amegusa na ametoa pasi nyingi halafu ndio urudi hapa na hizo pumba zako.Acha ushabiki mavi mkuu..kwanza martial katoka kuwa mchezaji bora wa mwezi uliopita na pia mchango wake kwa mwezi january ulikuwa mzuri sana..naona kila kitu ul unampa lawama martial,ni kweli amekopoteza clear chansi ila leo hatukutengeneza nafasi nyingi za goli..wachezaji wamecheza chini ya kiwango,ila pogba amezidi kabisa,na tambua kiungo ndo kila kitu...all in all bado martial ni mchezaji mzuri ambaye timu ikiwa kwenye peak,na yeye pia anaperform vizuri..hizi critics zako juu ya martial nadiriki kuziita ni za kipumbavu.
Povu ruksaAcha ujinga wa kijinga na wewe. Man U kapiga mpira mkubwa sana. Sio ule wa Wenger jana kakimbizwa mwanzo mwisho. Uwe unajitahidi kuangalia hata statistics baada ya mchezo.
Povu ruksa
Sasa Spurs ulivyokutana nao pia uliupiga mwingi eti mkuu?sawa nimekubali umeupiga mwingi kuliko wa gunnerz nijaalie matokeo......ubao unasoma ngapi?chungulia hapo kwa juu upande wa kushoto