Wewe ni MWEHU...
Umeniambia nikutajie tuzo yoyote binafsi ambayo KDB amewahi kuchukua,nimekutajia lakini unaanza kuniletea habari tofauti tena...
Pia ukasema KDB ameanza kung'aa msimu huu,nimekupa data kuwa hauko sahihi bado unaniletea mapambio..!
Jinga sana..!
Yes haya ndo nlikuwa nayataka mtoleane povu ila mtujuze mazishi saa ngapi?Wewe na morinho nani ni professional kwenye tasnia ya mpira na ukocha?
Unafikili hizo pumba zako morinho hakuzitambua?
Kuna kitu Mourinho anakosea tena anakosea sana, timu hii si ya kufungwa na Huddersfield au Newcastle
Kuna kitu Mou anakosea. Tunaweza tusiwe na timu nzuri ya kumfunga City,Spurs au PSG ila timu hii haiwezi kufungwa na Huddersfield,Newcastle.Pole sana mtani,soon tutakubaliana kua hizi team zetu ni kama jogging clubs tu maana unachoamini watakifanya unashangaa hawakifanyi.
Bado nipo hapa kibarazani kwenu mpaka tumalize msiba incase utahitaji kitu nijuze ndio ujirani tena.
Top five ballon d or hadi kilaza kante amewekwa
Ahahaaaah...sasa ndo unaenda kuleta huo uchafu wa ujeruman mwenzie kaikalisha ulaya nzima mourinho akiacha utani huyo kdb ni takataka fikiria dogo miaka 22 kaikisha ulaya bila kutolewa kwa mikopo mwenzio huyo
we toa lugha zote ila kufikia hapo ushakalishwa na vituzo uchwara hivyo umeanza ku slow down huyo anaenda miaka 28 kwanza pogba 24 kafanya ya maana achana na tuzo za huko juventus tuliza akili mdogo wangu
Ahahaaaah...hawa ndo mashabik halisi wa manchester city kweli mpira umewapita kushoto hapa tutapoteza muda mchezaj bora wa epl msimu ulioisha unamuita hivyo?
Tuachane na hao, tuifikirie timu yetu. Kwa mchezo huu naiona game ya Sevilla itakuwa ngumu sana.JE ARSENAL??
Ahahaaaah...
Wewe ni MWEHU...
Mbona KDB ashakua mchezaji bora wa bundesliga na bado unamuita takataka..!?
Au unajitoa ufahamu..!?
Ahahaaaah...mdogo wangu huo uchafu pogba kaubeba sana juventus sijakuambia tu wakat huyo mnaempamba anatolewa kwa mikopo kuimarika pogba anachukua namba juventus akiwa na miaka 20 tu
Huyu hana matokeo matatu kwake. Poleni Man United kwa kipigo goli 1 kwa sahaniMkuu punguza hasira
Kuna kushinda na Kuna kufungwa
Pole sana jirani zangu.
Mkuu umeona!!! Pole sanaLeo ushindi lazima
Ggmu.