Mimi namponda sana..unamtoa Lingard anayezungusha uwanja unamuacha yule mtu kasimama muda wote kule namba 11.Halafu atatokea bwege hapa ataanza kumponda Mourinho



Game LA Leo huwez mlaumi mtu,,, hata Tottenham magoli walofunga ya kawaida Sana ni Makosa madogo madogo tu,, lkn kikubwa timu imeonesha uhaiBinafsi nayakubali matokeo, kukubali matokeo ni uungwana. Man City hana mpinzani mwaka huu. Vita vinabaki kuwa top four.
Wachezaji leo wamekuwa hovyo kabisaHalafu atatokea bwege hapa ataanza kumponda Mourinho
Sana mkuu,, utamu wa PL nw upo bottom of the table,,,matokeo ya ajabu msimu huu yatakuwa mengi sanaKweli kabisa, nafasi ya 11 mpaka 20 zina chance sawa. Mwaka huu kuna ubishi mkubwa kushuka daraja.
Hahahahahaha uhai ndio kitu gani,wacha maneno angalia ubao unasomekajeGame LA Leo huwez mlaumi mtu,,, hata Tottenham magoli walofunga ya kawaida Sana ni Makosa madogo madogo tu,, lkn kikubwa timu imeonesha uhai
Naye pia mbabaishaji team kubwa inawachezaji wenye majina lakini aieleweki inacheza kitu ganiWachezaji leo wamekuwa hovyo kabisa
Pogba sijui kalala wapi
Martial inaelekea hamjui Mou
Jones kama mlevi leo
Smalling analeta panic attacks kwenye defence
Sanchez hakabi kampa shida sana Young
Mkiwa na wachezaji 7/8 hawajisikii kucheza hamuwezi kushonda. Ndio maana Mou huwa anawapa ukweli wao!
Ahahahhahahaaha ww Utakuwa shabiki wa arsenal,,, anyway tumepigwaHahahahahaha uhai ndio kitu gani,wacha maneno angalia ubao unasomekaje
Wacha utani mkuu uhai upo wapi hapo timu imezidiwa kila eneo yani munaongoza kupiga goal kick tu daaaaaaaaaaaah.............poleniGame LA Leo huwez mlaumi mtu,,, hata Tottenham magoli walofunga ya kawaida Sana ni Makosa madogo madogo tu,, lkn kikubwa timu imeonesha uhai
2 kwa nungeAhahahhahahaaha ww Utakuwa shabiki wa arsenal,,, anyway tumepigwa
Ila msimamo bado upo vilevile,,,2 kwa nunge