Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

DU5bEcuX0Aok0WQ.jpg
 
Hii timu dah Sielewi kwanini young anaanza wakati Shaw ni mzima na anacheza vizuri, martial kule juu hata kwa bunduki hatacheza kabisa. Jamaa wanatukabia juu na ndo shida hatuwezi kucheza kabisa, ngoja tuone Mou ana mbinu gani mpya ya kutunusuru leo maana ni aibu.
 
Mtazamo wangu...japo Young kajituma sana lakini goli zote zimepitia kwake.

Martial bado mtoto...wenzie wako ndani ya 18 yeye sijui anafanya nini huko nyuma. Katukosesha goli 2 mpaka sasa.

Pogba leo sijui kalala wapi.
 
Hii timu dah Sielewi kwanini young anaanza wakati Shaw ni mzima na anacheza vizuri, martial kule juu hata kwa bunduki hatacheza kabisa. Jamaa wanatukabia juu na ndo shida hatuwezi kucheza kabisa, ngoja tuone Mou ana mbinu gani mpya ya kutunusuru leo maana ni aibu.
Young na lingard hawa hata iweje mou alivyo msenge hawaeki nje
 
Ulishaona wapi watoto wanafundishana?.mbona unakuwa kama mtu usiyejielewa wewe,na martial uliyemsema kuwa anakaa benchi,leo anaanza
Mkuu mbona unakurupuka...I mean Sanchez na Martial mbona hawajawekwa sehemu moja kule vyumbani?
Lakini Martial wako yuko vizuri sana leo anamiliki sana mipira, ana haki ya kumweka Mata nje, hata nyuma anarudi mapema kusaidia, naona Velencia hapati shida hata kidogo. Mwache acheze tu mpaka mwisho na awe anaanza mechi zote
 
Back
Top Bottom