Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Arsenal fans be like
 

Attachments

  • Screenshot_20180131-213700.png
    Screenshot_20180131-213700.png
    99 KB · Views: 34
Tottenham Hotspur:
1 Hugo Lloris
5 Jan Vertonghen
6 Davinson Sánchez
33 Ben Davies
2 Kieran Trippier
20 Dele Alli
19 Mousa Dembélé
15 Eric Dier
10 Harry Kane
7 Son Heung-Min
23 Christian Eriksen

Manchester United:
1 David de Gea
4 Phil Jones
12 Chris Smalling
18 Ashley Young
25 Antonio Valencia
6 Paul Pogba
14 Jesse Lingard
31 Nemanja Matic
9 Romelu Lukaku
11 Anthony Martial
7 Alexis Sánchez
 
Meneje wa Manchester United, Jose Mourinho ameamuru kabati la kuhifadhia vifaa na jezi la mchezaji wake mpya, Alexis Shanchez lihamishwe kutoka lilipokuwa awali na kuwekwa karibu na kinda wa timu hiyo mwenye umri wa miaka 19, Marcus Rashford katika chumba cha kubadilishia nguo ndani ya United.

Kwa mujibu wa mtandao wa The Sun umesema kuwa kitendo kilichofanywa na Mourinho ni katika kuhakikisha Sanchez anakuwa karibu na Rashford ili kumpatia uzoefu ndani na nje ya uwanja.

Habari kutoka ndani ya Old Trafford zinasema ni kawaida kwa meneja huyo kuwachanganya wachezaji wenye umri tofauti ili kubadilishana uzoefu hivyo Sanchez ataweza kumuweka Rashford katika hatua nyingine kisoka soka.
Ana akili sana Mou, kamwe hawezi kusema akae karibu na Martial, anajua kuna mwanga mkubwa ndani ya Rashford. Safi sana.
 
Manchester United:
1 David de Gea
4 Phil Jones
12 Chris Smalling
18 Ashley Young
25 Antonio Valencia
6 Paul Pogba
14 Jesse Lingard
31 Nemanja Matic
9 Romelu Lukaku
11 Anthony Martial
7 Alexis Sánchez

Wasiwasi wangu ni kwa Young tukipigwa counter attack...huwa anasindikiza hadi kwy box.

Najua Lingard atatolewa aingie Felain, I wish maajabu yatokee, martial apigwe bench Lingard abaki.
 
Ana akili sana Mou, kamwe hawezi kusema akae karibu na Martial, anajua kuna mwanga mkubwa ndani ya Rashford. Safi sana.
Ulishaona wapi watoto wanafundishana?.mbona unakuwa kama mtu usiyejielewa wewe,na martial uliyemsema kuwa anakaa benchi,leo anaanza
 
Wasiwasi wangu ni kwa Young tukipigwa counter attack...huwa anasindikiza hadi kwy box.

Najua Lingard atatolewa aingie Felain, I wish maajabu yatokee, martial apigwe bench Lingard abaki.
Ila tujue kuwa attacking force ikiwa kubwa,unaneutralize kila kitu.ngoja tuone kama kikosi kitawork out au la
 
Kuna jamaa leo nimegundua ni ana chuki zake binafsi tu na martial majuzi nilidhani ni shabiki tu anatoa maoni yake ila dah too much.

Tunapishana sana macho namna ya kuwatazama wachezaji Rashford ni mzuri ila tatizo mbinafsi sana anapambana kwa ajili yake tu sio timu. Martial hana uchoyo wa pass kwangu Martial ni muhimu kuliko Rashford
 
Back
Top Bottom