Atacheza kwa sababu ni mashindano mawili tofauti ingawaje yako chini ya mwandaaji mmoja.Jamani naomba tusaidiane hapa sheria za UEFA zinasemaje kwa mtu anayetoka kucheza UROPA akija timu nyingine anaweza cheza UEFA champion ligue...??
E.g Sanchez anaweza ichezea Man u ....??
Jamani naomba tusaidiane hapa sheria za UEFA zinasemaje kwa mtu anayetoka kucheza UROPA akija timu nyingine anaweza cheza UEFA champion ligue...??
E.g Sanchez anaweza ichezea Man u ....??
Kwann mkuu?Wiki mbili zilizopita mtu angekuja kuniambia sanchez atatua OT ningeweza kumtupia hata jiwe usoni, maana ningeona ananikebehi,
Sikutegemea kabisa kama tungemsajili Sanchez, nilijua lazima ataishia PSG au city. Ukizingatia na habari zake zilianza ghafla tu.Kwann mkuu?
Kama walivyoflop Hazard,Ronaldo,Deco nk? Maana hawa wote walikuwa chini ya Mou na si ndo kaliba ya Sanchez.Unajua the best of ronaldo was under Mou? Alikuwa na tally ya 60 goals in a calenda yr.Hivi mkuu unamjua Mou kweli,coz kama unamjua usingeongea haya ningetaraji ungekuwa unajua kuwa Mou kweli anasuka timu ya ukabaji lakini huwapa free role wachezaji wachache wacheze wanavyotaka kama tulivyoona kwa Ronaldo,Hazard,Deco,na hata Pogba na ndo itakavyokua kwa Sanches pia.Sababu hicho ndo kilichokosekana kwenye attack ya utd.Natagemea Sanchez ku flop maana kwa formation za Mourinho lazima atambiwa akabe au atachezeshwa beki kama valenci kocha wetu ni mwehu
Mkuu kuna watu humu kauli kama hizi hawataki kuzisikia...Natagemea Sanchez ku flop maana kwa formation za Mourinho lazima atambiwa akabe au atachezeshwa beki kama valenci kocha wetu ni mwehu
Mbona huwataji hawaKama walivyoflop Hazard,Ronaldo,Deco nk? Maana hawa wote walikuwa chini ya Mou na si ndo kaliba ya Sanchez.Unajua the best of ronaldo was under Mou? Alikuwa na tally ya 60 goals in a calenda yr.Hivi mkuu unamjua Mou kweli,coz kama unamjua usingeongea haya ningetaraji ungekuwa unajua kuwa Mou kweli anasuka timu ya ukabaji lakini huwapa free role wachezaji wachache wacheze wanavyotaka kama tulivyoona kwa Ronaldo,Hazard,Deco,na hata Pogba na ndo itakavyokua kwa Sanches pia.Sababu hicho ndo kilichokosekana kwenye attack ya utd.
Wanajipa hati miliki ya ushahiki haoMkuu kuna watu humu kauli kama hizi hawataki kuzisikia...
Hao waliflop ? Micky,Debrune hawakupewa nafasi? Na chelsea ya kipindi hicho ulitaka hao wamuweke nani benchi?Au ukitaka wacheze 14 uwanjani?Mbona huwataji hawa
Mick, De Bruyne, Mo salah
Natagemea Sanchez ku flop maana kwa formation za Mourinho lazima atambiwa akabe au atachezeshwa beki kama valenci kocha wetu ni mwehu