Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu Wa Kutafsiri Picha Hepu Tuambieni Huyu Cartoonist hapo Kwa Wenger anamaanisha Nini?? 😀 😀 😀


IMG_20180118_140703.jpg
 
Manchester United lawyers are working on Alexis Sanchez's contract, it will be until 2022. They are ready to finalise the agreement (@FabrizioRomano)
 
NI MAWAZO YANGU TU:

Sanchez ni 29yrs old Sidhani Kuwa Wanaweza Kuboreka Zaidi Ya Kushuka Coz Umri Sahihi Wa Mchezaji Kufikia Katika Peak ni 25yrs na si Zaidi Ya Hapo

Problem Nyengine ni Mou-Style huenda ikamuangusha Zaidi Kama Micky
Coz Jamaa Hajazoea Kulinda alichozoea Ni Pep-Style and Weng-Style.
Only Offensive

Ni Mtazamo tu.
 
Hana 'noma' na ofa ya United.

Manchester United wameripotiwa kutaka kumlipa Alexis Sanchez mshahara wa Pauni 500,000 kwa wiki , na hiyo sio tatizo kwa Arsene Wenger - lakini imearifiwa kwamba asingekuwa na furaha kama Manchester City wangetaka kutoa ofa kama hiyo.

" Nisingependa kuhoji kuhusu namba ( Mshahara ) , hiyo ni juu ya United. Naiheshimu Manchester United kwasababu wanatengeneza fedha zao wenyewe wanazowalipa wachezaji wao kwa kutumia rasilimali zao . Lazima uheshimu hilo."

" Baada ya hapo ni juu yao sasa ni kiasi gani wanataka kumlipa mchezaji . Ni klabu ambayo inaendeshwa vizuri kiuchumi na ndani ya uwanja, ndio maana sina tatizo na fedha wanazolipa ."

" Naheshimu timu zinazotengeneza fedha zao wenyewe."
Mkopo
 
Martial hajawahi kutaka kuondoka United although timu nyingi sana zimekuwa zikimtaka kila wakati wa usajili hata Arsenal walitaka ajumuishwe deal la Sanchez akakataa kabisa.Kwa mfumo wa Mourinho huwezi kumweka benchi Matic ili Herrera acheze the same Mourinho aliyeua kipaji cha Herrera ndio aliyemfanya awe mchezaji bora last season hadi tukaseme apewe u-captain
Nenda tu google andika tu Anthony martial to sevila halafu utapata majibu na uhakikishe unatafuta hadi quotations za agent wake hafu uje unipe mrejesho
 
NI MAWAZO YANGU TU:

Sanchez ni 29yrs old Sidhani Kuwa Wanaweza Kuboreka Zaidi Ya Kushuka Coz Umri Sahihi Wa Mchezaji Kufikia Katika Peak ni 25yrs na si Zaidi Ya Hapo

Problem Nyengine ni Mou-Style huenda ikamuangusha Zaidi Kama Micky
Coz Jamaa Hajazoea Kulinda alichozoea Ni Pep-Style and Weng-Style.
Only Offensive

Ni Mtazamo tu.
Sanchez ni 29 Mkhi ni 28 sielewi logic yako hapo ,SAF alimsajili RVP umri huo tena injury prone na akaipa United ubingwa wa 20.Mkhi alinunuliwa kwa 26m last year Sanchez alinunuliwa kwa 32m mwaka 2013 Wenger amesema deal ni kubadilishana wachezaji hakuna hela ambayo Arsenal watapewa

Zidane,CR7,Messi wamepeak wakiwa na miaka mingapi ?

Kumbuka still United ina wachezaji wengi vijana (Martial,Rashford,Pogba,Bailly,Shaw,Lukaku)
Last season waliondoka Basti 33 na Wazza 32 na
next season two oldest players(Ibra 36 na Carrick 36) hawatakuwepo
 
Why usilete hizo links hapa,nimekwambia timu nyingi zimekuwa zinamtaka Martial but yeye mwenyewe hajawahi taka kuondoka na several times baada ya hizo tetesi kuzuka Martial akifunga goli huwa ana-kiss badge ya United na sio Martial tu zipo timu zilikuwa zinawataka Herrera,Mata,Fellaini,Romero,Darmian so sio kitu cha ajabu timu kumtaka mchezaji
 
Why usilete hizo links hapa,nimekwambia timu nyingi zimekuwa zinamtaka Martial but yeye mwenyewe hajawahi taka kuondoka na several times baada ya hizo tetesi kuzuka Martial akifunga goli huwa ana-kiss badge ya United
Man Utd 4ever
 
Tatizo LA Mou ni kuwanyima Uhuru wa chezaji uwanjani. Hilo ndo limefanya wafikie pabaya na Mkhtaryan. Na kuna kipindi hata Martial alishakata tamaa akaomba kwenda sevilla kwa mkopo. Kwa kifupi some times mou huwatumia wachezaji Fulani ktk nyakati Fulani si kwa matakwa ya moyo wake Bali ni kwa sababu hakuna namna. Na anapopata suluhisho,haijalishi huyo mchezaji yupo form au la anamuweka kando kupita kiasi. Rejea Herrera msimu ulopita mpaka tukasema itabidi awe captain.
Ona Herrera sasa anasugua mpaka kipaji kitapotea kabisa.
 
Back
Top Bottom