Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wana Man U tujipongeza kwa sare ya jana...Najua mahasimu wetu sisi kutoa sare ni sawa na kufungwa mtazamo huo sio mbaya ukizingatia uwezo wetu kisoka.
 
Nahisi siku Manure afungwe basi humu ndan kina Wacha na haters weingine watapika pilau tamu zaid ya lile na kwa makampeni....

Hatersssssssssssss! ziiiiiiiiiii!
 
article-2042530-0E1DB92500000578-901_634x286.jpg

khe khe khe khe khe eeeeeeeeeeeeeeeeeee
masikia ponea tundu la sindano khe khe kheeeeeeeeeeee
One man team ya mashoga khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Sasa mkuu hapo unapotea unaposema man utd ni one man team, maana msimu uliopita rooney alikuwa chini ya kiwango na tukachukua ubingwa pamoja na kucheza finali UCL, je nyie ambao si one man team mlikuwa wapi ??

Sikatai kuwa rooney ni mchezaji wetu muhimu ni kama timu nyingine yeyote, Barcelona na messi,Arsenal na RVP..........lakini timu zote huwezi ziita ni one man timu.

Kwa kiwango cha soka chetu hatujaponea kwenye tundu la sindano ila wale watoto wameponea chupuchupu wamefanya makosa waliyoyafanya kwa barca, ngoja uone marudiano kwao.............
Viva MAN UTD the best team ni EPL.........................
 
Wacha kulialia mkuu, ndio timu yenu hiyo ya mashoga khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Pamoja na makosa ya kiufundi ya MAN UTD still am proud of the team, they showed a MAN UTD character of comeback and spirit .................Haters mtakoma ubishi.
 
Sasa mkuu hapo unapotea unaposema man utd ni one man team, maana msimu uliopita rooney alikuwa chini ya kiwango na tukachukua ubingwa pamoja na kucheza finali UCL, je nyie ambao si one man team mlikuwa wapi ??

QUOTE]

SNE2201P-682_1149111a.jpg

Chacha hawa walikuwa wanafanya nini kama nyie chio one man team?
uchiku wa manane wanawanga .... ..... ...
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Habari zinazotinga hapa jamvini chacha hivi ni kwamba machabiki wengi wa Manure wako ICU khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Je unakumbuka kwamba tukio kama hili limeshatokea kwa wachezaji wengi...............mmoja wapo ni KAKA.Unadhani ni arsenal ile tokea aondoke Henry ni balaa tu na juzi kaja kuchukua kombe uani kwenu pale............karibu MAN UTD no player is bigger than Club.
 
Wacha nidhani baada ya kichapo cha bao nane ungetulia lakini wapi niambie huo usugu umeutoa wapi ?.

Mfarisayo baada ya tumbo la kuhara amepoteza password khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mod amsaidie aingie na free ride ... ..... ... Ngongo ati anasema Arusha hakuna umeme. Na yule mod wao nachikia kapata mfadhaiko ... .... ... hajaonekana chacha siku ya nne O ooooops tangu Stoke walipofanya vitu vyao.

article-2042530-0E1E466A00000578-985_306x117.jpg

article-2042530-0E1DCAD500000578-603_634x419.jpg

spalsh-fergie_1382915a.jpg

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Habari zinazotinga hapa jamvini chacha hivi ni kwamba machabiki wengi wa Manure wako ICU khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Aaaaaah maana mashabiki wa arsenal wengi wanaenda MAN CITY kwa mkopo ..............karibu man utd kwa afya yako hamna pressure wala stress.
 
Habari zinazotinga hapa jamvini chacha hivi ni kwamba machabiki wengi wa Manure wako ICU khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kama kawaida yako wewe hili kombe hujawhi kuchukua wewe ni msindikizaji miaka yote
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Jana midfileld na defence ilikuwa mbovu mno hasa kipindi cha pili Rio,Evra,Carick,Anderson,Valencia wote walikuwa mzigo.Wellback,Giggs ,Jones,Young na Nani walikuwa afadhali sijui kwa nini SAF hakumuanzisha Fletcher.Tuombee majeruhi wetu hasa Smalling,Rafael warudi mapema
 
Huyu ngeleja huyu hafai! Yaani kawakatia mashabiki wa man u wote wakiwemo wale walio nje!!! Maana hapa wenyeji wanachungulia kwa mbali tu kwa kutumia tochi!!! Hakuna kuchambua mechi wala nini....
 
Habari zinazotinga hapa jamvini chacha hivi ni kwamba machabiki wengi wa Manure wako ICU khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

ARSENANE Wewe ulitoka lini ICU hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa........! cc tuta shake off soon.
 
ARSENANE Wewe ulitoka lini ICU hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa........! cc tuta shake off soon.

Umeelewa maana ya msemo au umekurupuka? tafuta wanazi wenzio uwaulize khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Man_Utd_ace_nicks__1384216a.jpg

Mpira umewashinda chacha anza wizi wa maandazi
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
SNN3007CNC-682_1384078a.jpg

Maandazi matamu eeh ehe!

SNN3007AA---682_1383982a.jpg

Haka ka-jamaa kumbe kezi .... .....
watetezi wa mashoga hands up!
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hii mijezi naona kama naangalia Mnyama v Kandambili vile!
 
Back
Top Bottom