ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
rooney naye kaanza uchoyo kama nani
mwambie rooney aache uchoyo leo imekula kwake..
rooney naye kaanza uchoyo kama nani
Nadhan hatuna option nynge au?...mabek wetu weng n majeruh, na ile shambolish perfomance ya CL naona Rio alistail kuanza nje.Game huenda ingeisha 5-4 kama timu zote wangetumia nafasi vizuri,sikubaliani na SAF kumchezesha Valencia beki
mwambie rooney aache uchoyo leo imekula kwake..
Le kaboa sana..alikuwa off the form.
Waungwana nilikuwa nimekamatika kiana na mambo mawili matatu. Kwa kifupi performance yetu tangu mechi ya Chelsea imekuwa ya ajabu ajabu especially beki. Nitakuwa najitahjidi kuchungulia kila mara nitakapokuwa napata nafasi.
Vidic yuko wapi wakuu.............
Vidic yuko wapi wakuu.............
Ameenda kutafuta maandazi maana Di Gea bila maandazi ta Tesco haono mpira khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mjomba vipi mambo mbona jana mlishindwa kuzuia muziki wa Spurs ?.
Vidic yuko wapi wakuu.............
Hukuona mpira nini wewe? Magoli ya soccer sio netball ... ..... ... kwa mtindo huo lazima mshinde EPL every decision in favour of Manure and by all means against Gunners kwa sababu ndio tishio kubwa. Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nipe mkono basi, Tehetehe, Kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeekheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Nanyi mmezidi bana mnaharibu vijana ushoga nyie, wizi nyie, uharamia nyie ... .... wacheni unoko ..... ..... .... mnaharibu vijana wa kesho khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Sipati picha WACHA1 umekonda kiasi gani kozi mshabiki yeyote wa Arsenal hawezi nenepa hata siku moja.