mfarisayo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 5,160
- 2,004
Acheni kuwa wasahaulifu nyie mliposhinda mechi ya Swansea mlisema ligi imeenza next mechi na blackburn mkakalia vinne, leo tena mmeona mwezi kwa Bolton 10 men mmeanza kelele na kusahau kuwa next mechi mnakutana na Spurs. Na bila kusahau hao stoke anaowashangilia watakuja wafanya kitu mbaya na beki yenu ya kuunga na mnyaaLeague ndio imeanza hivyo..Viva stoke!