Tunakubaliana kua Chelshit kasogea nafasi ya pili au?ni wakati wa kuanza kutamba na nafasi mpya ya 3 hakuna namna.
Bado tunasubiri Pogba amalize adhabu tuanze balaa letu...
Mourinho is responsible (tactics) kwa haya yanayotokea hali ikiendelea hivi hakuna atakayemtetea but the way wachezaji wanavyocheza(attitude) yao ni wachache sana wanadeserve kuchezea hii timu hata angekuwa kocha gani.Hii timu akija kocha mwingine nae atafukuzwa kwa wachezaji hawa cycle itakuwa inaendelea
Mimi sioni tatizo la wachezaji hapa lazima kuna kitu mbona ligi ilivyoanza timu ilikua inacheza vizuri sana?? Matokeo safi kabisa sasa hivi tatizo nini??
Timu haibadiliki kiuchezaji inamaana soton wana wachezaji bora kuliko man u? Hapana!!! Tatizo nini KOCHA..............