Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699
Unaweza ntajia ao kumi..au chuna kwanza...tuchek mpira...siku nyngne tutajadili hili.
k.......
Unaweza ntajia ao kumi..au chuna kwanza...tuchek mpira...siku nyngne tutajadili hili.
Duh!kwa hiyo mmetoka draw,anyway mlikuwa mnacheza na timu kubwa sana!Nyie Stoke mngekuwa mnacheza iv siku zte basi mngekuwa top 3 ya epl...#*$% zenu.
Nyie Stoke mngekuwa mnacheza iv siku zte basi mngekuwa top 3 ya epl...#*$% zenu.
manda pole sana taratibu mnaenda kufungwa..
Nyie Stoke mngekuwa mnacheza iv siku zte basi mngekuwa top 3 ya epl...#*$% zenu.
Pagumu hapo.
Njoo tuongee baada ya mechi ijayo .... ... naona unadandia treni tu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
![]()
Vipi huyu dogo aliyekuwa anamdhihaki mwenyezi mungu
kabla ya mpambano?
Apana mkuu...leo kiukwel tmecheza ovyo...lakn pamoja na hayo, Stoke wame defend vyema sana..
Mipira mingi tumecheza ya juu ambayo jamaa ni wazur sana...
Bila kusahau jamaa mpira wao wa kihuni hawajaacha tu.
Ndo soka hilo lakini...we the results down to our chins and move foward.
Alamsiki.
![]()
Peter Crouch rises to head home his first goal for Stoke
![]()
High-flyer: Crouch leaps to celebrate his goal
![]()
Inquest: United's players look stunned as the ball hits the net
![]()
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Chacha nani Ooops Nani ataanza inquest ya mashoga .. ... ... ..
The first point since 2008 when promoted to EPL from Manure